Ushauri wangu wa mwisho kwa Simba kuhusu usajili

Ushauri wangu wa mwisho kwa Simba kuhusu usajili

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Habari wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu.

Binafsi ninahuzunishwa sana na baadhi ya sajili kwenye Klabu yangu pendwa ya Simba.

1. Usajili wa mawinga kumi na moja.
Saido, Kibu, Chama, Clamo, Onana, Phili, inasemekana na Luis Miquesson.

2. Kukosekana back up ya Beki wa kati.
Msimu uliopita Simba ilikuwa na wachezaji wafuatao Katika Beki wa kati; Inonga, Onyango, Nyoni, na Kenedy Juma. Sasa ina Mabeki watatu tu, kitu ambacho ni hatari mno. Akiumia mmoja au akatumikia adhabu ni tatizo kubwa mno.

3. Kukosa kiungo mkabaji CDM.
Ili ni kosa la kujirudia baada ya Thadeo Lwanga kuumia, Simba imekuwa na tatizo kubwa sana kwenye hili eneo lakini cha kusikitisha hadi sasa hawajapata kiungo mkabaji wa asili 6 CDM. Baada yake ina Viungo 3 wote ni BOXTOBOX 8; Mzamiru, NGOMA, kanute.

Maeneo muhimu.
1. Golikipa
2. Beki wa kati
3. Kiungo mkabaji

Hao Mawinga mnaowajaza hawana faida.

Tumieni akili.
 
Hivi Chama kiasili ni winga au kiungo wa kati (10 or 8)??

Tangu saido Amesajiliwa simba na Ujio wa Robertinho chama amepelekwa 11. Kutoka kwenye no 10..

Ila hachezi kama winga anacheza kama kiungo wa pembeni eg max

Hata yule Patrick Ausems alikuwa anamtumia chama kwenye no 11. No
7 Okwi.
9 kagere
10. Boko
11. Chama
Anamtumia saido eneo la no 10 kwa sababu ya utimamu wa Mwili alionao saido.......
Uwezo wa kucheza eneo kibwa.
Kupiga mashuti.
Plessing yake kubwa.
Kukabia juu nk.

Nadhani nimekujibu mkuu.
 
Back
Top Bottom