Ushauri: Wapenzi wa Yanga acheni kumpangia kocha timu!

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo.

Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na al hilal kwa kufunguka mapena mchezoni na kuruhusu goli lililotutoa makundini mwa klabu bingwa ya dark continent.mkakati alioingia nao ni kuhakikisha goli Yanga hairuhusu nyumbani na ushambuliaji wa kupata magoli ni ni mjini tunisia.

Baada ya kufanikiwa sare ya nyumbani wapenzi wa Yanga walikasirika sana kufikia kiasi cha kumtaja manji arudi! wengine wakitaka raisi wa timu atoke, kocha fukuzwe na bora kutumia wazarendo makocha kuliko wageni!

Kwa mtaji huu nasema kwa uhakika kombe la shilikisho tunaweza kulikosa mwaka huu ikiwa wapenzi wa yanga hawajui mbinu za kocha na matokeo ya sare nyumbani!
 
Kimataifa unakujua au umekula mihogo iliyochacha?
 
Kwani mawazo ya mashabiki ni lazima yafatwe na Nabi?
 
Back
Top Bottom