Kilimo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 777
- 194
Nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati mbaya sijapata mtandao ambao una vipimo vya hili gari hapo chini;
- Type: Pick up
- Maker: Toyota
- Model: Land Cruiser
- Year: 2005 to 2013
- Fuel: Diesel
- Transmission: Manual Transmission
- Drive Type:4WD
- Condition: Used
- Bajeti yangu inaanzia $60,000/- japo mazungumzo yapo kutegemea na gari yenyewe!
- Kifupi inahitajika Toyota landcruiser Pick up kwa ajiri ya field activities hata iwe directly kutoka Japan au kokote lakini lazima iwe imetumika tokea imetengenezwa
- Au naombeni ushauri zaidi kulingana na hayo mahitaji