Ushauri: Wapi nitalipata hili gari (used toyota land cruiser - pick up)

Ushauri: Wapi nitalipata hili gari (used toyota land cruiser - pick up)

Kilimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
777
Reaction score
194
Nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati mbaya sijapata mtandao ambao una vipimo vya hili gari hapo chini;

  • Type: Pick up

  • Maker: Toyota
  • Model: Land Cruiser
  • Year: 2005 to 2013
  • Fuel: Diesel
  • Transmission: Manual Transmission
  • Drive Type:4WD
  • Condition: Used
  • Bajeti yangu inaanzia $60,000/- japo mazungumzo yapo kutegemea na gari yenyewe!

  1. Kifupi inahitajika Toyota landcruiser Pick up kwa ajiri ya field activities hata iwe directly kutoka Japan au kokote lakini lazima iwe imetumika tokea imetengenezwa
  2. Au naombeni ushauri zaidi kulingana na hayo mahitaji
 
mkuu si wewe ndio umemwambia abdu (Mrema) fundi umeme wa mwenge akutafutie? hajakupa jibu kuwa ipo sehem??
 
mkuu si wewe ndio umemwambia abdu (Mrema) fundi umeme wa mwenge akutafutie? hajakupa jibu kuwa ipo sehem??

hapana cyo sisi, lakini waweza kutupa details za uliyonayo
 
Nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati mbaya sijapata mtandao ambao una vipimo vya hili gari hapo chini

  • Type: Pick up

  • Maker: Toyota
  • Model: Land Cruiser
  • Year: 2005 to 2013
  • Fuel: Diesel
  • Transmission: Manual Transmission
  • Drive Type:4WD
  • Condition: Used
  • bajeti yangu inaanzia $60,000/- japo mazungumzo yapo kutegemea na gari yenyewe!

  1. Kifupi inahitajika Toyota landcruiser Pick up kwa ajiri ya field activities hata iwe directly kutoka Japan au kokote lakini lazima iwe imetumika tokea imetengenezwa
  2. Au naombeni ushauri zaidi kulingana na hayo mahitaji

Nenda Toyota Tanzania watakupa hio gari. Kwa hiyo hela unapata mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom