Sio kweli. Kuna tofauti kubwa sana kuingia mahusiano ya ndoa ukiwa bikra na ukiwa haunayo..... Wewe unaesema hapo hajujaona huo ukweli na unasema yako imetolewa sasa umejuaje kuwa kuna shida?!
Mimi nimeona faida yake.....
Mwanaume anakuwa na heshima na wewe hata kama ataleta shida ila sio kwa kutakuwa na adabu fulani maana anajua yeye ni mwanaume aliyeanza na wewe na hauna history ya mahusiano kabla yake... Hiyo tayari inakupa nyota tano za heshima,,
Ukimpatia mtoto kama uzao wa wake wa kwanza kutoka kwako, hii inakupa cheo cha pili na mama wa watoto wangu tofauti na hawa kima ambao anaingia ndoani na watoto wa wanaume wengine, hapo anakuitaje sasa mama wa watoto wangu wawili na m'moja wa nje au?!
Ukiwa na bikra baada ya ndoa maana yake unaanza kupata experience ya migegedo ukiwa mke wa mtu halali na hautakuwa umechokonolewa huko chini na madudu tofauti tofauti.....
Niendelee au.....?!
Sent using
Jamii Forums mobile app