USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Vituka hongera sana wewe ulibahatika lakini kwa jamii yetu hii iliyoparaganyika.. Watoto wengi hubikiriwa wangali hawajitambui na hawatambui umuhimu wa kujitunza usichana wao... Na wale wanaojitahidi kujitunza hujukuta wanageukia mchezo wa kulawitiwa... Ni USHAURI mzuri lakini sidhani kama utawafikia walengwa
Jr[emoji769]
 
Sio jukumu la mabinti na wadada tu hata vijana wakiume tunzeni ubikira wenu. Hamna haki yakutifuatifua huku mkihitaji ambao hawajatifuliwa.
 

Hongera Dada Vituka kwa ushuhuda mzuri. Kama utaweza hebu washauri wasichana jinsi ya kushinda ushawishi wa marafiki wanaoamini kwamba uzinzi ni "Life style" na Fashion na kwamba kujitunza ni maisha ya kizamani.

Ahsante
 
Waambieni na wanaume wafanye hivyo maana hakuna aneruhusiwa kufanya zinaa.
 
Hongera wewe ni mwanamke unae jitambua sana na imani Pia utakuwa mama bora kwa watoto wako
 
Yupo anaepinga humu, naomba nichapiee
Nipe jina lake nimfungie kazi. Kusema za ukweli binti akiyaanza basi matokeo yake yanavia. Hata awe kipanga namna gani, dushe likimuingia tu, A+ inatelemka na kuwa A- nani anapinga
 
Waambieni na wanaume wafanye hivyo maana hakuna aneruhusiwa kufanya zinaa.
Hakika nao pia wanastahili kufanya hivyo, lakini leo nimeanza na wasichana kwa maana madhara makubwa huwapata wao zaidi kuliko wanaume. Next time nitaongea na wakaka
 
Kwahiyo ndio umekuja kujisifia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajisumbua umu ndani hakuna bikra hata moja labda za nyuma nazo nimashaka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe jina lake nimfungie kazi. Kusema za ukweli binti akiyaanza basi matokeo yake yanavia. Hata awe kipanga namna gani, dushe likimuingia tu, A+ inatelemka na kuwa A- nani anapinga
Very true! Nilimlea mtoto wa kaka yangu, akiwa class 1-4 alikuwa akishika nafasi ya kwanza, alipoanza tu ngono akashuka mpaka 20 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…