USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

kwa upepo ulivyobadilika sasa hv...kama umeamua kumuoa mtu muoe tu hayo mambo ya kuangalia bikra hayana faida yoyote
 
Kitu kinachonichekesha kwa hawa wanaosema watuza bikra moja kati ya hoja zao kubwa wanasema eti wanalinda heshima ya mume wake baadae wakati kumbe mume wake wa baadae ni ZERO IQ WA JAMII FORUM ambaye hata umuhimu wa kibra haujui ha ha ha ha ha ha

Yaani mnatuza vitu muhimu sawa tunakubali lakini sisi tunaona kawaida tu coz kabla ya kuoa tumekula sana tunda kimasihara

Zero IQ
 
Kuna mtu anakupangia wewe mtoa mada jinsi ya kutumia pesa zako? Au ule hiki au usile kile? Je mavazi unayovaa? Au leo mchana ule nini? What gives you a right kumpangia mwanamke afanye nini na mwili wake. Virginity is bullshit. It's a way of men controlling women's bodies.

Dear girls your body your choice.


Atakaekuja hapa sijui mungu ndo kaiweka etc. Hiyo ni anatomy kama ulivyo mkono au mguu. Hizo dini zote ni sexist! Tena ukiangalia viongozi wa dini since way back walikua wanaume hapo unategema mwanamke asibaguliwe na kua controlled.

Na atakae ni quote ******a. Simjibu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nasisitiza na vijana kutunza bikra zao.
 
Hilo nalo ni tatizo kubwa sana, mila na desturi zetu pamoja pia zinachangia hili tatizo, kwa mfano ndugu zetu Wamakonde na Wazaramo na ile mila yao ya kuwacheza unyago mabinti wadogo, inachangia mno wasichana kuanza ngono wangali na umri mdogo. Tuanze taratibu kuelimishana
 
Aiseee, Nimekuelewa dada! Sina la zaidi
 
[emoji1][emoji1][emoji1] mipango sio matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,dont be so negative my dear naamini bado wapo wenye nazo bwana na hizo habari za bikira ya nyuma nadhani ni wakati sasa jamii yetu ikemee tabia hizo kwa jinsi zote mbili.
Ikemee wanawake wanaona fashion leo nmepanda daladala mdada anaongea ujinga kaambiwa na konda sogea mbele anasema sikuizi nyuma ndio mpango mbele pakuzalia tu nikashtuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hapana, ila nimekuja kuwapa ushuhuda kwamba inawezekana kutofanya ngono mpaka pale binti atakapoolewa.
Sasa kama uliolewa ukiwa na miaka 21?
 
Kupanic ni lazima hasa ukikumbuka kuwa umetolewa bikra kwa zawadi ya NOKIA ( Obama)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Inawezekana wewe na WAVULANA wenzio hamjui umuhimu wake, lakini WAPO WANAUME wanaojua nini maana ya kuoa mwanamke bikira. naomba pia nieleweke kwamba wale walioolewa wakiwa sio BIKIRA sio kwamba wao ni wanawake wabaya sana, hawana thamani na wakozefu sana, natambua wapo waliofanyiwa ukatili kama ubakaji na kadhalika. Ndio maana nasema kama kuna uwezekano mwanamke ukajitunza mpaka utakapoolewa kuna faida nyingi sana kuliko hasara.
 
Naheshimu mawazo yako darling wala sikupingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…