USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!

Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.

Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vizuri na kuwa na mafanikio kimaisha pia huongezeka.

Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.

Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU 😘 na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.

Tchao.
 
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!

Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.

Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vozuri na kuwa na kafaniklio kimaisha pia huongezeka.

Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.

Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU [emoji8] na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.

Tchao.
Ilikuwaje siku unatolewa bikra?

Kizibo
 
IMG-20200217-WA0063.jpeg

Unforgetable
 
Na wakikutana na vibamia au waliopoteza nguvu za kiume (hawa hawawezi hata kuitoa hiyo bikra) utawashaurije na ndoa zao za kanisani?
 
Ww unadhani kuna mwanaume anaestahili kuoa bikra saivi? Yaan hata nipate chance angel anitokee atake kurudisha bikra yangu wala sitakubali.
Looh jamani kwani shida iko wapi jamani? Ngoja wanaume waje waseme
 
Wenye bikra zenu muwe huru tuu kuzitoa wakat wowote mana najua walioolewa bikra na bado wanaishi sawa na wengine, Maumivu ya kuumizwa na aliekubikiri ni harari kwa afya.
 
Na wakikutana na vibamia au waliopoteza nguvu za kiume (hawa hawawezi hata kuitoa hiyo bikra) utawashaurije na ndoa zao za kanisani?
Aisee hiyo issue ya vibamia ni maumbile tu,na sidhani kama kuna tatizo. Ila kwa yule mwanaume ambae hawezi kabisa kusimamisha uume (hanithi) taarifa itolewe kwa Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe na ndoa hiyo HUBATILISHWA.
 
Back
Top Bottom