Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Wewee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah asee nimecheeka, katoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah asee nimecheeka, katoto!!
Sawa, nimekuelewa asee.Nlijibu kutokana na sababu alizonipa... Marriage is more than virginity and making love
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!
Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.
Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vizuri na kuwa na mafanikio kimaisha pia huongezeka.
Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.
Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU [emoji8] na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.
Tchao.
Ausio Ndio Mana una akili hizoKizazo kijacho ni kizuri sababu mpinga mkristo tayar atakua anatawala so ni mwendo wa 666 tuuu.[emoji23]
Pole sana 🤣 🤣NONSENSE
Bora sisi bro na akili zetu izi..ogopa sana kupata virgin afu siku best ako au mabaharia wakamchezea baisho i love u baby yaan hutampata tena
Yeeeah welcome bwana mdogo..maisha mafupi haya kulilia walichokiwai mabaharia wenzako😘😂Ausio Ndio Mana una akili hizo
Unawaza 666
Mxeew
Nitamuoa labda azingue mwenyeweUkiowa utupe mrejesho
Dogo una wivu ulitaka upewe Wewe ??Mxeew
Nipewe nini we kijana mi naletewa.Dogo una wivu ulitaka upewe Wewe ??
Mimi nastahili kuoa bikraWw unadhani kuna mwanaume anaestahili kuoa bikra saivi? Yaan hata nipate chance angel anitokee atake kurudisha bikra yangu wala sitakubali.