Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Habari zenu!
Nashauri watumishi wachanganywe na wasio watumishi ili wasio watumishi wasiharibu. Waliofanya zoezi hili 2012 wasiachwe ili kuendeleza uzoefu.
vijana hawa jielewi... hawa aminiki kwa uzembe wao... wanafanya kazi kwa kulipua bila uadilifuWatumishi muwekwe wa nini sasa wakati vijana wapo mtaani wakutosha acha vijana wapewe mafunzo wale izo hela
Sawa mtumishi, nitumie details zako Ili tukiwa tunachakata majina tupitishe na jina lakoHabari zenu!
Nashauri watumishi wachanganywe na wasio watumishi ili wasio watumishi wasiharibu. Waliofanya zoezi hili 2012 wasiachwe ili kuendeleza uzoefu.
Vijana hawa hawa ambao unaona hawajielewi ndo wamehusika kwa kiasi kikubwa katika kujenga nchi...Hawahawa ndo wamekuwa mstari wa mbele kuhakisha hiyo beji uliyoweka hapo inapata matokeo chanya na ushindi katika maeneo mbalimbali ya nchi, Acha chuki zisizokuwa na msingi mkuu kutojielewa kwa watu wachache kusikufanye ukachanganya watu wote je makosa yaliyowahi kufanywa na wazee wetu yalitufanya kusema wazee hawajielewi!!?vijana hawa jielewi... hawa aminiki kwa uzembe wao... wanafanya kazi kwa kulipua bila uadilifu
hao mabalozi wa nyumba kumi na wajumbe wa serikali za mitaa wote wanajua kutumia simu janja vizuri!!? kwanini hatuwezi kuzungumzia maswala ya maendeleo pasipo kuleta uchama!!? yaan umuache mtu mwenye vigezo na sifa kisa tu uchamawachukue watumishi... na wajumbe wa mitaa pamoja na mabalozi wa nyumba kumi
hawajielewi... ipo wazi, wange kuwa wana jielewa basi kwa yote waliyo yafanya ktk nchi hii wange kuwa mbali au wange kuwa kipaumbele na sio kutumika...Vijana hawa hawa ambao unaona hawajielewi ndo wamehusika kwa kiasi kikubwa katika kujenga nchi...Hawahawa ndo wamekuwa mstari wa mbele kuhakisha hiyo beji uliyoweka hapo inapata matokeo chanya na ushindi katika maeneo mbalimbali ya nchi, Acha chuki zisizokuwa na msingi mkuu kutojielewa kwa watu wachache kusikufanye ukachanganya watu wote je makosa yaliyowahi kufanywa na wazee wetu yalitufanya kusema wazee hawajielewi!!?
semina elekezi zipo...hao mabalozi wa nyumba kumi na wajumbe wa serikali za mitaa wote wanajua kutumia simu janja vizuri!!? kwanini hatuwezi kuzungumzia maswala ya maendeleo pasipo kuleta uchama!!? yaan umuache mtu mwenye vigezo na sifa kisa tu uchama
kwanini usimchukue mtu mwenye uzoefu wa kutumia simu janja ili kuokoa mudawa mafunzo ambayo ungepanga kuyatoa, hiv unadhan sensa ni vishkwambi tu!!? unaweza mchukua mzee wa miaka 60 au 65 kumtembeza umbali wa kilomita 3 au nne kila siku na akakupa accurate data!!? unadhani ni rahisi kupata wataalamu wa IT kutoka kwa wajumbe na mabalozi wako wa mitaa!!? kuna muda tuachane na uchama tuzungumze uhalisiasemina elekezi zipo...
leo halmashauri zina enda kidigital...
mzee wako, mama yako, mjomba, shangazi hajui kutumia simu janja?
nikisema vijana hamjielewi nakosea?
je wakifundishwa ktk hizo semina elekezi wata shindwa?
Mbn watumiaji mnanjaa Sana qmmk waachen Jobless wafanye hiyo Kazi.
Nitazungumzia Swala la sensa tu maana ndo topic kuu hapa sipo kw ajili ya siasahawajielewi... ipo wazi, wange kuwa wana jielewa basi kwa yote waliyo yafanya ktk nchi hii wange kuwa mbali au wange kuwa kipaumbele na sio kutumika...
na wewe ni mmoja ya wasio jielewa... amkeni mpate suluhisho la kudumu na sio hisani...
waliofanya kazi za anuwani za makazi ndo wale walioandika Load badala ya Road!!? au ni wapi hao unaowazungumzia!!?ueledi wa kazi muhimu sio kisa huna kazi.. una weza ukawa una kazi lakini haina ujila...
tuna hitaji ufanisi wa kazi... zoezi hili lita linganisha kazi iliyofanyika ktk anuani za makazi, pia itasaidia kujua kama wale wa anuani za makazi walifanya vyema au hawa wa sensa ndio wamefanya vyema...
na kama kuna nyumba/kaya ita rukwa au kuto hesabiwa basi ni rahisi kufahamu...
kuna wajumbe ambao wana ifahamu mitaa na watu wake ipasavyo... wana weza tembea na kutimiza jukumu... hata hivyo pale kutakapo kuwa na gap basi waongezwe wachache wanatakao faaa...kwanini usimchukue mtu mwenye uzoefu wa kutumia simu janja ili kuokoa mudawa mafunzo ambayo ungepanga kuyatoa, hiv unadhan sensa ni vishkwambi tu!!? unaweza mchukua mzee wa miaka 60 au 65 kumtembeza umbali wa kilomita 3 au nne kila siku na akakupa accurate data!!? unadhani ni rahisi kupata wataalamu wa IT kutoka kwa wajumbe na mabalozi wako wa mitaa!!? kuna muda tuachane na uchama tuzungumze uhalisia
siasa huwezi iepuka maisha yako yote...Nitazungumzia Swala la sensa tu maana ndo topic kuu hapa sipo kw ajili ya siasa