DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Akili za kiccm hizo Mtu una Kazi yako kwanini usitulie tu njaa zitawaua nyie watumishi mnaweledi gani?? Kila siku mnaiba pesa za Umma . Idiot Thoughts.
ueledi wa kazi muhimu sio kisa huna kazi.. una weza ukawa una kazi lakini haina ujila...
tuna hitaji ufanisi wa kazi... zoezi hili lita linganisha kazi iliyofanyika ktk anuani za makazi, pia itasaidia kujua kama wale wa anuani za makazi walifanya vyema au hawa wa sensa ndio wamefanya vyema...
na kama kuna nyumba/kaya ita rukwa au kuto hesabiwa basi ni rahisi kufahamu...