Ushauri: Watumishi wachanganywe na wasio watumishi kusimamia Sensa, 2022

Ushauri: Watumishi wachanganywe na wasio watumishi kusimamia Sensa, 2022

wanao hitajika watapatikana... japo kuna kufoji taarifa vya kutosha... vijana wamefoji taarifa ipasavyo...

na kwakuwa zoezi la usaili lina simamiwa na wilaya pamoja na kata husika... hivyo watumishi huwa ni kipaumbele na nafasi zinazo bakia ni kwa wanao fahamiana

zingatia hiki kibwa

zingatia hiki kibwagizo
Sidhani kama kutakuwa na shida kama watumishi watakuwepo ili mradi zoezi liende kama lilivyopangwa na kwa faida ya wananchi wote kuliko kwa kuzingatia mahitaji ya watu wachache (Mtazamo ulionao)
 
ana ongoza lakini hawezi tembea 3km sio...? una weza ifanya hii 3km tupate ujazo wa eneo? tukimaliza tupate idadi ya nyumba? alafu nikupe swali la mwisho wewe msomi...
Hatembei kama anaenda sokoni ndo maana wenyewe nbs wakaweka vigezo!!! NB:Mimi ni nan mpaka wa kupinga vigezo vya nbs!!?je huyo mjumbe ataweza kutembea huku anaingiza data kwenye Simu janja wakati wengi wao hata hizo simu janja hawana!!? unapotoa mawazo kuwa makini usije ukaaibisha taswira uliyobeba...
Asubuhi njema mkuu
 
Sidhani kama kutakuwa na shida kama watumishi watakuwepo ili mradi zoezi liende kama lilivyopangwa na kwa faida ya wananchi wote kuliko kwa kuzingatia mahitaji ya watu wachache (Mtazamo ulionao)
usije/msije leta malalamiko kuwa hatukusema...
 
usije/msije leta malalamiko kuwa hatukusema...
tulete malalamiko wakati kwenye maombi kundi la watumishi limewekwa. kabisa!!!? shida nyie wajumbe na mabalozi hata kwenye mfumo hamkuingia mliishia kukagua form tu zilipokuwa zinapelekwa kwa watendaji
 
Hatembei kama anaenda sokoni ndo maana wenyewe nbs wakaweka vigezo!!! NB:Mimi ni nan mpaka wa kupinga vigezo vya nbs!!?je huyo mjumbe ataweza kutembea huku anaingiza data kwenye Simu janja wakati wengi wao hata hizo simu janja hawana!!? unapotoa mawazo kuwa makini usije ukaaibisha taswira uliyobeba...
Asubuhi njema mkuu
hujui kuwa data zina takiwa kuingizwa eneo husika, na kuchukua point kwa kila nyumba... una sema digital lakini kumbe hujui kinacho enda kufanyika...

naomba kuishia hapa...

heshima yako mkuu...
 
Habari zenu!

Nashauri watumishi wachanganywe na wasio watumishi ili wasio watumishi wasiharibu. Waliofanya zoezi hili 2012 wasiachwe ili kuendeleza uzoefu.

Akili za kiccm hizo Mtu una Kazi yako kwanini usitulie tu njaa zitawaua nyie watumishi mnaweledi gani?? Kila siku mnaiba pesa za Umma . Idi

Maua hunyauka,stori husaulika hii inamaanisha duniani sote tunapita.afanyike vyema huyu wa Leo ili wa kesho awe bora.ubora wa uzee wa Leo uliandaliwa na uzee wa Jana kipindi wakiwa na ujana.
 
Kwa taarifa tu watumishi wote wanapigwa chini na kuchukuliwa vijana ambao hawana KAZI na Wana sifa
 
na ndio maana nasema vijana hamjitambui...
Taratibu na maneno yako unajua sisi ndio tumewapa nchi na kura zetu leo hii hatujitambui basi hiyo serikali tuliyowapa hamjitambui maana Wajinga wanajuana nadhani hiyo power tuliyowapa ndio inakufanya uwe na mdomo
 
Back
Top Bottom