DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
ueledi wa kazi muhimu sio kisa huna kazi.. una weza ukawa una kazi lakini haina ujila...
tuna hitaji ufanisi wa kazi... zoezi hili lita linganisha kazi iliyofanyika ktk anuani za makazi, pia itasaidia kujua kama wale wa anuani za makazi walifanya vyema au hawa wa sensa ndio wamefanya vyema...
na kama kuna nyumba/kaya ita rukwa au kuto hesabiwa basi ni rahisi kufahamu...
ndio hawa vijana waaminifu wajuvi wa matumizi ya simu janja...waliofanya kazi za anuwani za makazi ndo wale walioandika Load badala ya Road!!? au ni wapi hao unaowazungumzia!!?
Unajua idadi ya watu wanaohijatika kufanya sensa ni wangapi!!!? unajua nchi yetu ina Kmsq ngap!!? ukishajua hilo ndo utapata jibu wajumbe watatakiwa watembee kilomita ngapi kuchukua data sio unaongea tu!!! na hizo nafasi unazozisemea itakuwa vicr versa tukuna wajumbe ambao wana ifahamu mitaa na watu wake ipasavyo... wana weza tembea na kutimiza jukumu... hata hivyo pale kutakapo kuwa na gap basi waongezwe wachache wanatakao faaa...
siasa huwezi iepuka maisha yako yote...
ccm ni nini? akili ni nini?Akili za kiccm hizo Mtu una Kazi yako kwanini usitulie tu njaa zitawaua nyie watumishi mnaweledi gani?? Kila siku mnaiba pesa za Umma . Idiot Thoughts.
kama umeenda chaman kutafuta ulaji na sio maendelo ya nchi nakuhakikishia bado unasafari ndefu sana ndugu yangundio hawa vijana waaminifu wajuvi wa matumizi ya simu janja...
na ndo maana tunaishi kwenye tafakuri gumzo kwa hali kama hiisiasa huwezi iepuka maisha yako yote...
Unajua idadi ya watu wanaohijatika kufanya sensa ni wangapi!!!? unajua nchi yetu ina Kmsq ngap!!? ukishajua hilo ndo utapata jibu wajumbe watatakiwa watembee kilomita ngapi kuchukua data sio unaongea tu!!! na hizo nafasi unazozisemea itakuwa vicr versa tu
una fahama kitongoji kina idadi ya kaya ngapi? na wajumbe wangapi ukiondoa mabalozi?Unajua idadi ya watu wanaohijatika kufanya sensa ni wangapi!!!? unajua nchi yetu ina Kmsq ngap!!? ukishajua hilo ndo utapata jibu wajumbe watatakiwa watembee kilomita ngapi kuchukua data sio unaongea tu!!! na hizo nafasi unazozisemea itakuwa vicr versa tu
na ndio maana nasema vijana hamjitambui...na ndo maana tunaishi kwenye tafakuri gumzo kwa hali kama hii
Mkuu hii Kazi hupati kwanza hauna vyeti sasa unafikiri utapataje kuwa mjumbe wa Nyumba kumi sio kigezo Cha kushriki sensaccm ni nini? akili ni nini?
huna kazi? kwanini?
akili unayo ila kazi huna... ccm haina akili ila ina kazi...
shida kwenye maswala ya muhimu kama haya hatutaki kuelezana ukweli wenyewe wameweka vigezo wakiwa na sababu zao sasa wewe unakuja kosoa kisa tu kwa mtazamo wako binafsiHuyu Jamaa Hana Kitu kichwan naona umempa Fact then hii sensa inafanywa kidigitali na wajumbe wengi 90% hawajui kutumia kishikwambi
Sasa kamisaa kashahitimisha wanaohitajika sio wajumbe na mabalozina ndio maana nasema vijana hamjitambui...
kama wewe mwenye kitu kichwani hujui kuwa kuna mafunzo elekezi, na kutumia kishikwambi sio jambo pekee...Huyu Jamaa Hana Kitu kichwan naona umempa Fact then hii sensa inafanywa kidigitali na wajumbe wengi 90% hawajui kutumia kishikwambi
una fahama kitongoji kina idadi ya kaya ngapi? na wajumbe wangapi ukiondoa mabalozi?
jifunze kwanza kujua mamabo ya tamisemi... sababu hujui kuwa ktk zoezi hili huko mtaani utaongozwa na balozi, wajumbe, watendaji... hujui kabisa hata hili... una zani utajikurupukia na kwenda katika mlango wa mtu na kuhesabu kisa umevaa visibility ya sensa na kitambulisho cha karani?
mjumbe ataongoza kama vile mtambulishaji wa wahusika wa zoezi na sio kama unavyofikiria wewe na pia nadhani nimeshakupa majibu stahikiuna fahama kitongoji kina idadi ya kaya ngapi? na wajumbe wangapi ukiondoa mabalozi?
jifunze kwanza kujua mamabo ya tamisemi... sababu hujui kuwa ktk zoezi hili huko mtaani utaongozwa na balozi, wajumbe, watendaji... hujui kabisa hata hili... una zani utajikurupukia na kwenda katika mlango wa mtu na kuhesabu kisa umevaa visibility ya sensa na kitambulisho cha karani?
wanao hitajika watapatikana... japo kuna kufoji taarifa vya kutosha... vijana wamefoji taarifa ipasavyo...Sasa kamisaa kashahitimisha wanaohitajika sio wajumbe na mabalozi
kama uta bahatika au watakao bahatika wataleta mrejesho hapa... kama wewe ulivyo leta mrejesho wa wazazi wako kushindwa kuwa hudumia wazee wao (babu zako)Hakuna Mjumbe atakayeshiriki huu mchakato mtu hajui kusoma Wala kuandika then unataka afanye vipi Kaz ?
kama uta bahatika au watakao bahatika wataleta mrejesho hapa... kama wewe ulivyo leta mrejesho wa wazazi wako kushindwa kuwa hudumia wazee wao (babu zako)
ana ongoza lakini hawezi tembea 3km sio...? una weza ifanya hii 3km tupate ujazo wa eneo? tukimaliza tupate idadi ya nyumba? alafu nikupe swali la mwisho wewe msomi...mjumbe ataongoza kama vile mtambulishaji wa wahusika wa zoezi na sio kama unavyofikiria wewe na pia nadhani nimeshakupa majibu stahiki