Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Una tatizo la kisaikolojia which inabidi utibiwe Kwanza then utajua which is the best way ya kuendana na situation hiyo.

Mali ya mzee wako Ni yake ungekuwa under 18 mzee angekuwa anawajibika na wewe direct.

39 mzee ni umri wa kuwa na familia na wewe ukiwa unawaza utawarithisha nini watoto wako na mkeo.

Hakuna kuwahi Wala kuchelewa in life, fanya uamzi Leo na uwe very positive, work hard and smart si unao msaada wa Abcd...za shule?

Kazi zipo tena nyingi sana, tatizo huenda ni hiyo degree inakusumbua ,inakupa pride ambayo hata degree yenyewe haiwezi kuibeba. TEMANA NA MZEE, OMBA MUNGU KISHA SIKU UTARUDI KUMSHUKURU MZEE WAKO.
 
Tafuta zako.

Na ningekuwa baba yako nauza kila kitu kabla sijaenda Mbinguni.
 
Back
Top Bottom