Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Kuna hii investment wanaiita Pepsi vipi apa, Risk takers naweza kuweka mzigo au ndo ya Kalyanda..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interesting🤣🤣🤣🤣 Hivi ujenzi wa shule za Kata wote huu, bado hatujaamka tu.....tunaikatisha serikali yetu tamaa Kwa kweli.
Kwa kutumia elimu ya mtaa....hamna cha bure duniani....hiyo elfu 30 wao wanaifanyia nini hadi wakupe wewe faida yote hiyo? Ukibisha ingia mwenyewe na elf 30 yako mtaani uone Kama utapata faida kirahisi....kimbiaaaa.
Nisiweke au sio!Hiyo umeshachelewa ukiweka mpunga sasa hivi uwezekano wakuliwa ni 99.9999%
Shukran.Ukiangalia vizuri hiyo Pyramid uwezekano wa kufikia mahala isambatatike ni 95% kwa hiyo unaweza kuweka hela ambazo ukipoteza hazitakuumiza sana kichwa
(Invest what you can afford to loose)