dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 932
Habarini Wana JF wote
Mimi mzima wa Afya, ombilangu kwenu ni kuwaomba ushauri tuu kuhusu mtoto wa kiume nimtarajiae wiki mbili mpaka tatu zijazo
Natarajia kupata mtoto wa kiume, NAOMBENI JINA ZURI LENYE MAANA NZURI KATIKA MAFANIKIO YAKE
NOTE: Hata jina la mchezaji mpira sio mbaya ila awe ulaya,America au legend wa Afrika kwasababu Mimi ningependa mwanangu asakate kabumbu(Kama Sir GOD akimpa kipaji Cha namna hiyo) ,
Karibuni Nduguzanguni kwenye kuchangia,
Ahsanteni kwa yote mtakayo nishauri