Ushauri wenu kuhusu jina nzuri la mtoto wa kiume

dimatteo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
868
Reaction score
932
Habarini Wana JF wote

Mimi mzima wa Afya, ombilangu kwenu ni kuwaomba ushauri tuu kuhusu mtoto wa kiume nimtarajiae wiki mbili mpaka tatu zijazo

Natarajia kupata mtoto wa kiume, NAOMBENI JINA ZURI LENYE MAANA NZURI KATIKA MAFANIKIO YAKE

NOTE: Hata jina la mchezaji mpira sio mbaya ila awe ulaya,America au legend wa Afrika kwasababu Mimi ningependa mwanangu asakate kabumbu(Kama Sir GOD akimpa kipaji Cha namna hiyo) ,

Karibuni Nduguzanguni kwenye kuchangia,

Ahsanteni kwa yote mtakayo nishauri
 
MAJINA YAPO MENGI MKUU NA KILA JINA LINA UTOFAUTI WAKE

WACHEZA MPIRA NAO WAPO WENGI, CR7, MESSI, JORDAN SANCHO, MBAPPE KYLLIAN, AUBAMEYANG N.K
 
No Escape,Ila kuna Apps nyingi playstore zina majina.
 
Ukimwita jina la mcheza soka unadhani ndo atakuwa mcheza soka hodari? Huyo naye ana kusudi lake duniani.... Jaribu kushirikisha watu wazima kama wazazi au wowote unaowaamini wana maono...kama ni mtu wa ibada au swala basi jaribu kuwashirikisha viongozi wako wa kidini....Humu jf utafanyiwa mizaha naona wengine wanakwambia umwite covid19!!!
 
Habarini Wana JF wote

Mimi mzima wa Afya, ombilangu kwenu ni kuwaomba ushauri tuu kuhusu mtoto wa kiume nimtarajiae wiki mbili mpaka tatu zijazo

Natarajia kupata mtoto wa kiume, NAOMBENI JINA ZURI LENYE MAANA NZURI KATIKA MAFANIKIO YAKE

NOTE: Hata jina la mchezaji mpira sio mbaya ila awe ulaya,America au legend wa Afrika kwasababu Mimi ningependa mwanangu asakate kabumbu(Kama Sir GOD akimpa kipaji Cha namna hiyo) ,

Karibuni Nduguzanguni kwenye kuchangia,

Ahsanteni kwa yote mtakayo nishauri
Covidan Bonge la jinaa boss hutajuta linaenda na wakati ..
 
Habarini Wana JF wote

Mimi mzima wa Afya, ombilangu kwenu ni kuwaomba ushauri tuu kuhusu mtoto wa kiume nimtarajiae wiki mbili mpaka tatu zijazo

Natarajia kupata mtoto wa kiume, NAOMBENI JINA ZURI LENYE MAANA NZURI KATIKA MAFANIKIO YAKE

NOTE: Hata jina la mchezaji mpira sio mbaya ila awe ulaya,America au legend wa Afrika kwasababu Mimi ningependa mwanangu asakate kabumbu(Kama Sir GOD akimpa kipaji Cha namna hiyo) ,

Karibuni Nduguzanguni kwenye kuchangia,

Ahsanteni kwa yote mtakayo nishauri
paramagamba kabudi , nalo linafaa
 
Back
Top Bottom