Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

Ongea na moyo wako hapa jamvini wengine tuna majanga zaidi ya hili lako '' Ila kama bado unampenda ishi naye kwanza miaka 2 ukiona kabadilika funga ndoa au umuache akaolewe na mwingine
 
Sema mwanagu unapitia wakati mgumu sana pole aiseeeee
 
Mkuu naona maelezo meengiii ila unaonekana ni weak sanaaa kwenye kufanya maamuzi yanayohusu maisha yako binafsi sorry for telling you this. Huyo dada alikuwa na mimba kweli na ametoa kweli kwa maelezo yako tuu yanathibitisha hili bila kuacha chembe ya mashaka. Sasa hapo niww kuamua ww ndo muoaji ila kama unataka niiushauri huyo binti hakufai kuendelea kuwa nae hata dakika moja zaid
 
ubarikiwe
 
Yaani nilivyoona posts zako nikasema huyu ngoja nitafute namna ya kumsalimia.

Huyu jamaa kila ushauri anasema asante nashukuru, kwa hiyo tuendelee kutoa ushauri tu.
Ha ha ha we mtundu[emoji16]

Tatizo humu na chai nyingi, ndo maana mtu anashindwa kuexpose tatizo
 
Mpe second chance amekua muwazi kwako na amekiri kosa! Msamehe na oa huyo huyo! Kuna tofauti kati ya kuteleza na kujiangusha huyo kateleza tu maybe kutokana na mazingira!

Mmejuana kwa muda mrefu hiyo ni bond nzuri!
 
Mpe second chance amekua muwazi kwako na amekiri kosa! Msamehe na oa huyo huyo! Kuna tofauti kati ya kuteleza na kujiangusha huyo kateleza tu maybe kutokana na mazingira!

Mmejuana kwa muda mrefu hiyo ni bond nzuri!
nimepokea pia ushauri wako.
 
Umenichosha umeandika mmo,

Nlianza kuisoma ila nimeishia njian, pole kijana,

Huyo binti atakusumbua sanaa fanya maamuzi magumu,,

Mapenzi yake kwako yamejikunja kama dawa na mbu.[emoji3]

View attachment 1515396
 
Ukimuoa mtu ambae amekuumiza kiasi hicho ujue kwenye ndoa yatatokea makubwa mara 10 ya hayo. Mungu amekuonyesha mapema ili umwache na uendelee na maisha yako. Usipingane na Mungu utapata laana ya ndoa
 
Umemaliza mkuu siandiki kitu na uzi uishie hapa tusubiri part 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…