asante sana ndugu yangu, mungu akubariki sanaNisiwe mbali na Operand na mkuu Singasinga
Hawa wote wameongea point za Aina yao
Ukiweza ungeziwaza hizo sana sababu moja imekaa positive na nyingine negative
Kama mmeshaplan maisha pamoja Ni vema Kama utakutana nae mkaongea pamoja
Ila Kama Ni uchumba tu Basi waweza angalia mwingine( Ila je huyo mwingine atakuaje?)
Mama zetu Hawa anajua mungu mkuu..........
Last thing fuata chare zako zinakuambia Nini
Kisha zifuate sababu huyo ndio wewe.
asante ndugu yangu, ubarikiwe mkuu.Huyo hakua na mimba wala hamna mwanamke mjinga akuambie siri kubwa kama hiyo. Uchumba unapofikia kilele huwa kuna mambo mengi sana yanatokea. Nilipokua karibu na harusi yangu nilipoteza hamu na mchumba wangu kabisaaaa nikabaki kumtafutia sababu. Marafiki waliingilia na maombi yalifanyika ndio ndoa ikapita. Kwenye hili usimsikilize yeyoteee omba Mungu akupe ishara ikibidi funga majibu utayapata. Sikiliza sauti ya Mungu pekee kwenye hili
jitahidi kama mkatoliki tafuta novena ya mtakatifu Rita wa kashia. Mimba utoe siku tano use sawaa weee damu inamwagika hata mwezi ndio maana unaweza sikia mtu katoa mimba kafa si rahis hivyo. Mungu tu awe mwamuzi usijazwe ukaja kujuta. Mimi ilifika sehemu nikafake mahusiano mradi niachike bahati nzur tu nilikua karb na watu wemaasante ndugu yangu, ubarikiwe mkuu.
asante ndugu yangu, mungu akubariki sanajitahidi kama mkatoliki tafuta novena ya mtakatifu Rita wa kashia. Mimba utoe siku tano use sawaa weee damu inamwagika hata mwezi ndio maana unaweza sikia mtu katoa mimba kafa si rahis hivyo. Mungu tu awe mwamuzi usijazwe ukaja kujuta. Mimi ilifika sehemu nikafake mahusiano mradi niachike bahati nzur tu nilikua karb na watu wema
Kaka umeongea jambo la msingi sana inawezekana binti anamtega sana ni vigumu kwa mwanamke kueleza siri kama hiyo kiurahic hivyo ... Yaani hapo panahitajika maombi Mungu akufunilie ili uweze kutoka katika huo mkwamo .... Mahusiano ya mbali yanachangamoto samaHuyo hakua na mimba wala hamna mwanamke mjinga akuambie siri kubwa kama hiyo. Uchumba unapofikia kilele huwa kuna mambo mengi sana yanatokea. Nilipokua karibu na harusi yangu nilipoteza hamu na mchumba wangu kabisaaaa nikabaki kumtafutia sababu. Marafiki waliingilia na maombi yalifanyika ndio ndoa ikapita. Kwenye hili usimsikilize yeyoteee omba Mungu akupe ishara ikibidi funga majibu utayapata. Sikiliza sauti ya Mungu pekee kwenye hili
ubarikiwe sana mkuu.Kaka umeongea jambo la msingi sana inawezekana binti anamtega sana ni vigumu kwa mwanamke kueleza siri kama hiyo kiurahic hivyo ... Yaani hapo panahitajika maombi Mungu akufunilie ili uweze kutoka katika huo mkwamo .... Mahusiano ya mbali yanachangamoto sama