Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Akupigaye kofi la kushoto mgeuzie na la kulia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshakamilisha??Wakuu poleni na weak and
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake!
Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana nae yeye kaongozana dada mmoja!sasa mimi tukasalimia fresh wote tukamaliza!sasa mimi nikamvuta yule rafiki yangu pembeni nikamuuliza vipi huyo ni dadaako??
Wakuu kwa kweli sikuamini yule rafiki yangu kanipiga kofi hadi nikapatwa na kizunguzungu!!mpaka sasa nijiuliza hivi pale kosa langu ni nini!!!wakuu naombeni ushauri wenu kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu rafiki yangu!!!