Haki nimechekaUpo njia panda ya kuelekea wapi tukufuate wewe MUUAJI.
Aisee kimbia tu maana mtoto mwenyewe sio wako baba ake akikukuta hapo.
Wacha kutunga wewe, mbona unajichanganya? maji ya baridi mgongoni mtoto azimie? nasikia leo.Mkuu nilipatwa na mshtuko baada ya kuona mtoto chini ile kumuuliza beki 3 umefanya nini?? Hapohapo kumbe nilipeleka na kofi!! Sasa nashindwa nianzie wapi au nilale mbele liwalo na liwe!!
INA MAANA HADI MUDA HUO UNAPOST MARA YA PILI BADO TU HUJA JUA UZIMA WA MWANAO? KWELI WEWE MUUAJI.JIPELEKE JELA BILA KUHUKUMIWAMkuu nilipatwa na mshtuko baada ya kuona mtoto chini ile kumuuliza beki 3 umefanya nini?? Hapohapo kumbe nilipeleka na kofi!! Sasa nashindwa nianzie wapi au nilale mbele liwalo na liwe!!
Mkuu na wewe.zimia tuu hakuna namna....
Una umri gani wewe wa Stendi? Naona mada zako zimekaa Kifesibuku fesibuku tu!!Mkuu nilipatwa na mshtuko baada ya kuona mtoto chini ile kumuuliza beki 3 umefanya nini?? Hapohapo kumbe nilipeleka na kofi!! Sasa nashindwa nianzie wapi au nilale mbele liwalo na liwe!!
Chai..Mkuu nilipatwa na mshtuko baada ya kuona mtoto chini ile kumuuliza beki 3 umefanya nini?? Hapohapo kumbe nilipeleka na kofi!! Sasa nashindwa nianzie wapi au nilale mbele liwalo na liwe!!
MAJI YA BARIDIMovie mpya hiyo,mpeni ushauri..