wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ni hivi wakuu nimerudi nikakuta beki 3 ameendaa maji ya kumwogesha mtoto!! Sasa ile amemwagia maji mgongoni yale maji yalivyo ya baridi amezimia!!nikajikuta na mimi nimemzaba kofi yule beki 3 nae chali chini kazimia! Sasa niko kwenye njiapanda sijui nikimbie!!