Ushauri: Wiki ya 2, mke hana hamu ya tendo la ndoa

Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
Spiritual husband possession at work[emoji69], nenda kanisani u get aquite solution which is permanent.
 
Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
kaka mimba changa ni tatizo sana ila ni kipindi cha mpito..so dont be negative minded eti labda anachepuka..ni kawaida
 
Ujauzito nisababu kubwa sana kaka angu,hormone huvurugika,unajiskia vibaya mwanzo mwisho mtu unaetapika na kua na mood swing huwezi kuwaza sex,hata iweje hali itakaa sawa mvumilie
 
Ntachunguza aisee

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Unapata dhambi sana,karne hii unayoweza kuingia google ukasech kuwaza utumbo kama huo?si unawenzio humu,incle hatuna haja ya kukudanganya hiyo hali nnawatoto mimi nimeshaona tena la kumuomba Mungu kipindi cha 2trimester atulie na hamu irudi vinginevyo atakua anakupa tu afanyeje
 
Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.

kaka mimi mke wangu ana wiki 29 now nilibahatika kupata haki yangu kwa wiki nne za mwanzo za ujauzito, kaka mpaka leo wiki ya 29 sijaona ndani harafu namtamani kweli mke wangu coz amezidi kuwa mtamu na mzuri yani. but cha ajabu muda naokuwepo nyumbani anataka nimkumbatie na tunakula sahani moja na tunatumia kijiko kimoja hataki kabisa tutumie vyombo tofauti; muda navyokwambia nipo kitandani na yeye nimkumbatia but hataki kunipa show.

kwa hiyo ndugu yangu jikaze tuu mambo yatabadirika utapewa show
 
Hahaha hizo miezi 9 zitamuuwa inabidi apate mtoto flan amazing hapo jirani
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] mi simooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuwa mpole kwa mda hali hiyo huwatokea sana baadhi ya kina Mama tena ujauzito kama ni wakwanza unakuwaga na complication mingi mno..Usijenge mawazo ya labda wife anakucheat hapana....Tena wengine huwa wanatokea kuwapenda hata baadhi ya marafiki zako na anakuambia ili ale chakula kila siku jioni hakikisha unakuja na fulani hapa...Na akimuona anarithika mbaya kabisa..
Ikifikia hapo jamaa atavurugikiwa kabisa.
 
Huyo bwege au hayuko busy
Hakuna ubwege hata chembe. Mimba zinaweza kudai mambo ya ajabu kweli na usipokuwa makini unaweza kuachana lakini kwa waelewa wanajua ni mambo ya mpito tu.
Unaweza kuambiwa naomba shati lako ulilovaa sana asifue awe aninusa tu na anaridhika tu.
 
Unapata dhambi sana,karne hii unayoweza kuingia google ukasech kuwaza utumbo kama huo?si unawenzio humu,incle hatuna haja ya kukudanganya hiyo hali nnawatoto mimi nimeshaona tena la kumuomba Mungu kipindi cha 2trimester atulie na hamu irudi vinginevyo atakua anakupa tu afanyeje
Tulia uandike kitu kinachoeleweka haraka ya nini kiongozi.
 
kaka mimi mke wangu ana wiki 29 now nilibahatika kupata haki yangu kwa wiki nne za mwanzo za ujauzito, kaka mpaka leo wiki ya 29 sijaona ndani harafu namtamani kweli mke wangu coz amezidi kuwa mtamu na mzuri yani. but cha ajabu muda naokuwepo nyumbani anataka nimkumbatie na tunakula sahani moja na tunatumia kijiko kimoja hataki kabisa tutumie vyombo tofauti; muda navyokwambia nipo kitandani na yeye nimkumbatia but hataki kunipa show.

kwa hiyo ndugu yangu jikaze tuu mambo yatabadirika utapewa show
Kaka nimekupata vizuri sana ila,lakini hili jambo litanikondesha kaka,papuchi kuikosa kwa zaid ya wiki si mchezo,hongera pia kwa kuheshimu ndoa.
 
Wife hana hamu wala siyo kwa sababu ya mimba, ni kwa sababu unachepuka sana! Rafiki acha kuchepuka!
 
wewe unaonekana umri bado,

Ngoja ukue kidogo utayaone,
Daah nitake radhi nina miaka 10 ya ndoa na watoto 3,inawezekana huyo jamaa ni wewe na ndoa ni changa:Mwanaume huwez tembea km zote hizo kufuata chips wakat jiran zipo just because mke anazitaka hizo,hawa wenzetu usipoonyesha msimamo wanakuendesha kwa kisingizio cha mimba
 
Back
Top Bottom