Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Hahaha hizo miezi 9 zitamuuwa inabidi apate mtoto flan amazing hapo jiraniMshauri jamaa awe ananunua makreti ya [emoji481] [emoji481] maana miezi 9 sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hizo miezi 9 zitamuuwa inabidi apate mtoto flan amazing hapo jiraniMshauri jamaa awe ananunua makreti ya [emoji481] [emoji481] maana miezi 9 sio mchezo
Lakini ndio hamu isiwepo?hakuna hata dawa jamani?Mke akili ishafyetuka anawaza uchungu wa kujifungua na sakata ajui atapush au tumbo litachanwa. Kuzaa shgl si mchezoo
Spiritual husband possession at work[emoji69], nenda kanisani u get aquite solution which is permanent.Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
kaka mimba changa ni tatizo sana ila ni kipindi cha mpito..so dont be negative minded eti labda anachepuka..ni kawaidaKama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
wewe unaonekana umri bado,Huyo bwege au hayuko busy
Hili jambo naliwazaga sana.Hahaha hizo miezi 9 zitamuuwa inabidi apate mtoto flan amazing hapo jirani
Unapata dhambi sana,karne hii unayoweza kuingia google ukasech kuwaza utumbo kama huo?si unawenzio humu,incle hatuna haja ya kukudanganya hiyo hali nnawatoto mimi nimeshaona tena la kumuomba Mungu kipindi cha 2trimester atulie na hamu irudi vinginevyo atakua anakupa tu afanyejeNtachunguza aisee
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
Usiliwaze tena mkuu lipo hivyo tuuHili jambo naliwazaga sana.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] mi simooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha hizo miezi 9 zitamuuwa inabidi apate mtoto flan amazing hapo jirani
Ikifikia hapo jamaa atavurugikiwa kabisa.Kuwa mpole kwa mda hali hiyo huwatokea sana baadhi ya kina Mama tena ujauzito kama ni wakwanza unakuwaga na complication mingi mno..Usijenge mawazo ya labda wife anakucheat hapana....Tena wengine huwa wanatokea kuwapenda hata baadhi ya marafiki zako na anakuambia ili ale chakula kila siku jioni hakikisha unakuja na fulani hapa...Na akimuona anarithika mbaya kabisa..
Hakuna ubwege hata chembe. Mimba zinaweza kudai mambo ya ajabu kweli na usipokuwa makini unaweza kuachana lakini kwa waelewa wanajua ni mambo ya mpito tu.Huyo bwege au hayuko busy
Unataka kuharibu ndoa ya mtu kisa changamoto ndogo kama hizo!We boya tu mpaka unaoa hujui kuchepuka hamia airtel..!
Mtoto wa mulugo huyo usimlaumu.Unataka kuharibu ndoa ya mtu kisa changamoto ndogo kama hizo!
Ndoa na iheshimiwe.
Tulia uandike kitu kinachoeleweka haraka ya nini kiongozi.Unapata dhambi sana,karne hii unayoweza kuingia google ukasech kuwaza utumbo kama huo?si unawenzio humu,incle hatuna haja ya kukudanganya hiyo hali nnawatoto mimi nimeshaona tena la kumuomba Mungu kipindi cha 2trimester atulie na hamu irudi vinginevyo atakua anakupa tu afanyeje
Kaka nimekupata vizuri sana ila,lakini hili jambo litanikondesha kaka,papuchi kuikosa kwa zaid ya wiki si mchezo,hongera pia kwa kuheshimu ndoa.kaka mimi mke wangu ana wiki 29 now nilibahatika kupata haki yangu kwa wiki nne za mwanzo za ujauzito, kaka mpaka leo wiki ya 29 sijaona ndani harafu namtamani kweli mke wangu coz amezidi kuwa mtamu na mzuri yani. but cha ajabu muda naokuwepo nyumbani anataka nimkumbatie na tunakula sahani moja na tunatumia kijiko kimoja hataki kabisa tutumie vyombo tofauti; muda navyokwambia nipo kitandani na yeye nimkumbatia but hataki kunipa show.
kwa hiyo ndugu yangu jikaze tuu mambo yatabadirika utapewa show
Daah nitake radhi nina miaka 10 ya ndoa na watoto 3,inawezekana huyo jamaa ni wewe na ndoa ni changa:Mwanaume huwez tembea km zote hizo kufuata chips wakat jiran zipo just because mke anazitaka hizo,hawa wenzetu usipoonyesha msimamo wanakuendesha kwa kisingizio cha mimbawewe unaonekana umri bado,
Ngoja ukue kidogo utayaone,