Hayo mengine kawaida ila alichoandika huyu jamaa kwa mwanaume ukikubal utaendeshwa!trust me wanawake huwa wanapima msimamo wako kwa kisingizio cha mimba ukipotea step ndio inakua utaratibu wa maisha unasifiwa una care kumbe ubushokeHakuna ubwege hata chembe. Mimba zinaweza kudai mambo ya ajabu kweli na usipokuwa makini unaweza kuachana lakini kwa waelewa wanajua ni mambo ya mpito tu.
Unaweza kuambiwa naomba shati lako ulilovaa sana asifue awe aninusa tu na anaridhika tu.
mie ya kwanza ya ujauzito ni tafran tupu,yani hapo wala hakuna msaada msaidie kwakumuelewa mpa japo miezi mi3 na usimpileke puta mtoto wawatu na wala usitafute mchepuko bakii hapo hapo sababu alichokibeba ni mtoto wenuKama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
Acha kumdanganya mwenzio.inatokea mke kukosa hamu ya tendo la ndoa hasa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito.Mchunguze vizuri mkeo usikute ana mpango kando, ujauzito siyo kisingizio tena mimba haina hata miezi mitatu, wenzako wanakunjuana wakati bado siku tatu mke ajifungue...
Shtuka!!!
Nimekuja kujua ni Nas mapesa au Nasri mahelaNas mapesa ......au nasma pesa
Ufafanuzi maana siku zote nilijua ke
Natanguliza samahani
nas mapesa kiongozi,mambo ya mods ndo yamesababisha haya uliyowaza.Nas mapesa ......au nasma pesa
Ufafanuzi maana siku zote nilijua ke
Natanguliza samahani
Daah nitake radhi nina miaka 10 ya ndoa na watoto 3,inawezekana huyo jamaa ni wewe na ndoa ni changa:Mwanaume huwez tembea km zote hizo kufuata chips wakat jiran zipo just because mke anazitaka hizo,hawa wenzetu usipoonyesha msimamo wanakuendesha kwa kisingizio cha mimba
pamoko jembenas mapesa kiongozi,mambo ya mods ndo yamesababisha haya uliyowaza.