Ushauri: Wiki ya 2, mke hana hamu ya tendo la ndoa

Ushauri: Wiki ya 2, mke hana hamu ya tendo la ndoa

Hakuna ubwege hata chembe. Mimba zinaweza kudai mambo ya ajabu kweli na usipokuwa makini unaweza kuachana lakini kwa waelewa wanajua ni mambo ya mpito tu.
Unaweza kuambiwa naomba shati lako ulilovaa sana asifue awe aninusa tu na anaridhika tu.
Hayo mengine kawaida ila alichoandika huyu jamaa kwa mwanaume ukikubal utaendeshwa!trust me wanawake huwa wanapima msimamo wako kwa kisingizio cha mimba ukipotea step ndio inakua utaratibu wa maisha unasifiwa una care kumbe ubushoke
 
Kama heading inavyosomeka,ni zaid ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo kubwa,jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekua inaniumiza sana sababu ili tendo linoge lazima kila mtu ashiriki vyema na si upande mmoja.
Wataalamu tafadharini msaada namna ya kurejesha hamu kwa wife.
nawasailisha.
mie ya kwanza ya ujauzito ni tafran tupu,yani hapo wala hakuna msaada msaidie kwakumuelewa mpa japo miezi mi3 na usimpileke puta mtoto wawatu na wala usitafute mchepuko bakii hapo hapo sababu alichokibeba ni mtoto wenu
jaribu kumchukulia na kumuelewa,kila mimba na style yake,mie nilikua staki Hubby aende hata GYM nataka 24/7 awekaribu hasa mtoto wa kike,akiwa wakiume nakua mkori mara staki harufu ya mafuta mazuri ya aina yoyote kwa miezi mi5 ya mwanzo,chakula kikichelewa Nalia kama mtoto....
 
Nas mapesa ......au nasma pesa

Ufafanuzi maana siku zote nilijua ke

Natanguliza samahani
 
Mchunguze vizuri mkeo usikute ana mpango kando, ujauzito siyo kisingizio tena mimba haina hata miezi mitatu, wenzako wanakunjuana wakati bado siku tatu mke ajifungue...



Shtuka!!!
Acha kumdanganya mwenzio.inatokea mke kukosa hamu ya tendo la ndoa hasa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito.
 
Daah nitake radhi nina miaka 10 ya ndoa na watoto 3,inawezekana huyo jamaa ni wewe na ndoa ni changa:Mwanaume huwez tembea km zote hizo kufuata chips wakat jiran zipo just because mke anazitaka hizo,hawa wenzetu usipoonyesha msimamo wanakuendesha kwa kisingizio cha mimba


ngoja siku uambiwe, ule embe mbichi! anataka asikie sauti tu ya embe inavoliwa,

Tatizo kubwa la mwanamke akiwa na mimba ni psychological, anaona wewe unaendelea kutesa wakati yeye anaumia, ndo maana wanapenda waone mwanaume anateseka pia!
 
Mabadiliko ya hormone mwilini mwake yameshaazna
 
una uhakika wowote kuwa hiyo mimba inakuhusu wewe?!
 
Back
Top Bottom