Ushauri: Wilaya za Kibaha na Bagamoyo zihamishiwe Dar es Salaam, Mbagala na Kigamboni zipelekwe mkoa wa Pwani

Serikali ianze mchakato wa kupanua barabara ya Kilwa kwa njia nne kutoka Mbagala mpaka Mkuranga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wazo zuri ila Kisarawe nayo imekaa vibaya ingawa na Mkoa mzima wa Pwani umekaa vibaya
 
Idadi kubwa ya watu pia ni uchumi
Kalaghabhao
 
Wazo zuri ila Kisarawe nayo imekaa vibaya ingawa na Mkoa mzima wa Pwani umekaa vibaya
Haujakaa vibaya hilo eneo mnaloita Dar es Salaam ndio ulikuwa makao makuu ya Mkoa hivyo kukatwa eneo la kati kati liliendelea
 
Hao watoto wengi kumbuka ukijumlisha wote kwa pamoja, kila mtu anazaa wa kwake kwasababu hata wakizaliwa watoto mia kwa siku kama hakuna wa kwako bado hakuna wa kwako na wewe utazawa kwako.

Kuza sio tatizo kabisa. Tena kuzaa kunafariji maana watu wanakufa kuzaa ndio faraja, ishu ni kuzaa kwa kadri unavyoweza kulea ila sio kuacha kuzaa
 
Kama hii ndio kipimo cha thinking capacity ya working class ni shida,President ameshatoa with punguza kuzaliana!!,but it's to late already, horse bolted
 
Kama mapinga na kerege na zinga uwezi kuzitofautisha na dar mfano Bunju na Tegeta.
Naunga mkono baadhi ya maeneo yasogezwe dar kama sio wilaya nzima.
Ukipata kiwanja maeneo hayo usikiache
 
Huyu alisomea Cuba hajui jiografia ya Tanzania
 
Nashauri bagamoyo na kibahana kisarawe ziletwe dar

Kigamboni na mbagala zibaki dar

Mkoa wa wa pwani ubaki na rufiji, kibiti, mafia na wamege part of lindi
Swali linabaki,ukizingatia idadi ndogo ya watu na hali za watu,uchumi wa mkoa huu utabebwa na wilayavipi hapo? Lakini ni wazo zuri,changamoto na fursa kwa pamoja.
 
Yaani umetoa mfano sahihi. Mtu yupo radhi akaishi Chanika au Mabwepande lakini asiishi Mipeko ambayo ipo Mkuranga, Kisarawe mjini au Kiluvya Makurunge.
Haya maeneo ya Mkuranga na Kisarawe yana shida gani? Mtujuze na sisi wa huku Katavi.
 
Halafu Mbagala sio kata ilikuwa tarafa na Sasa ni Jimbo la uchaguzi.
Kata ya Chamazi Ina wakazi wengi zaidi kuliko kata yoyote Yaa jiji la Dar es salaam
Mbagala ni Taarifa. Pia ni jimbo la Uchaguzi kama ilivyo tarafa ya Ukonga, Segerea
chalinze, Kibaha, Bagamoyo, Ruvu na Wami hao wote wawe Dar es salaam..

Mbagala,Mkuranga, Kisarawe, rufiji, Kibiti, Kilwa Iwe Pwani makao makuu Mkuranga..
Hivi Mbagala unapaona mbali sana kutokea Dar City center?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…