Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kibaha na bagamoyo zinapswa liwa darKibaha na bagamoyo zitakuwa mkoa gani
Na kisarawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaha na bagamoyo zinapswa liwa darKibaha na bagamoyo zitakuwa mkoa gani
Tuliza munkari kwanza ndugu yangu,mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuwa sheria,ni vizuri na wewe ukatoa mapendekezo yako,ila kiukweli mkoa wa pwani kijiografia unatesa wakazi wake wa wilaya za kusini ,rufiji,kilwa nk wanapofuata hiuduma kibahaMara ya Mwisho kuitembelea Mkuranga ilikuwa lini?
Unajua kuna viwanda vingapi vilivyojengwa Mkuranga?
kwa nini kibaha, chalinze na Bagamoyo unalazimisha ziwe sehemu ya Dar es Aalaam na wakati huo huo ukitaka Mbagala itoke?
Hoja yako ilikuwa mto kizinga ndio itumike kuitenganisha Jimbo la Mbagala na maeneo mengine mkoani Dar es Salaam na kukujibu kwa Kutumia kigezo cha Kizinga itakubidi pia Ukate baadhi ya maeneo ya Jimbo la Temeke pia ni wilaya, ukate baadhi ya maeneo ya Jimbo la ukonga ambalo ni sehemu ya jiji la Dar es salaam.
Labda wewe kwa mtazamo wako Dar es salaam inahanzia wapi na inaishia wapi?
unajua Mbagala ni karibu zaidi na kati kati ya jiji kuliko Kimara, kibamba, Gongo la mboto, Bunju na Tegeta huko,
kwa nini sehemu sehemu ya karibu na kati kati ya jiji la Dar es salaam itengwe ila huko mbali kwenye mishokora pajumuishwe.
Unajua umbali uliopo kutoka Rangi tatu mpaka Kilwa kwa kukusaidia tu KM 288 na hii ni kilwa kivinje tu bao kipatimu na maeneo mengine, hivyo na umbali wa kutoka posta mpaka mkuranga ni km50.
Ungekuwa wewe ndio mtoa maamuzi hayo makao makuu mapya ungeyaweka mkuranga? ukiyaweka mkuranga hujawaweka watu kutoka kilwa kipatimu karibia na liwale kwenye shida.
Nini sababu za kiuchumi za kuichukua kibaha, Bagamoyo, chalinze kuiunganisha na Dar zinazozidi za kuiunganisha Mkuranga na KIsarawe.
hivi hamjui Wandereko na wazaramo hawajawahi kuvuka mto rufiji, ukivuka kabila la huko ni wamatumbi yaani namaanisha rufiji, kibiti, mkuranga , kisarawe, kibaha, chalinze na huku mto wami.
kuna mtoa mada mmoja anasema kisa kuna watu wa kusini wengi hivyo anahisi hawastahili au? kwa maeneo yanayokaliwa na wachaga wengi ndio wanastahili?
mtoa mada unaifahamu historia ya MSASANI? unafahamu wenyeji hapo wengi wanatoka wapi? na yenyewe itolewe?
N.B nilikimbia fesibuku na huku nayakuta yaleyale
Kwanza kilwa haipo kati ya wilaya zilizopo mkoa wa pwani.Tuliza munkari kwanza ndugu yangu,mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuwa sheria,ni vizuri na wewe ukatoa mapendekezo yako,ila kiukweli mkoa wa pwani kijiografia unatesa wakazi wake wa wilaya za kusini ,rufiji,kilwa nk wanapofuata hiuduma kibaha
Hakika wanahitaji kufanyike kitu
Toa maoni yako nini kifanyike kuwasaifia watu hawa
Uko sahihi kuasi ila ukitengeneza mkoa mpya wenye wilaya za kibiti rufiji,mafia na mkuranga,huu utakuwa mkoa masikini sana Tanzania,hizo wilaya kubaki kataa uchumi wake uko chini sana.ndio maana ikapendekezwa mbagala na sehemu ya kigamboni iwe sehemu ya huo mkoa mpyaKwanza kilwa haipo kati ya wilaya zilizopo mkoa wa pwani.
Kufanana kwao tamaduni kati ya Wamatumbi na Wandengereko hakufanyi wawe sehemu Moja kiutawala.
Kilwa ni wilaya iliyopo Kaskazini zaidi katika mkoa wa Lindi hivyo kuwapa tabu wakazi kwenda Lindi mjini kupata huduma.
Kuna ukweli wa wakazi wa Wilaya za mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia yenye visiwa kama jaja, kwake, koma na Mafia yenyewe kupata shida kwenda Mkoani ambapo ni kibaha.
Ila ukweli mwingine watu kutoka wilaya ya kisarawe, Bagamoyo pia hupata shida kwenda makao makuu ya mkoa kupata huduma kwa sababu miundombinu sio rafiki.
Kwa nini? Kwa sababu Mzizima ilizaliwa kwa kukataa eneo la mkoa wa pwani lililoendelea zaidi ambalo lipo kati kati hivyo kuwapa shida watu wa Wilaya hizo kutoka wilaya Moja kwenda nyingine lazima wapite Mzizima.
Tatizo hili pia utalikuta Mbeya maana mbeya mjini imezungukwa na mbeya vijijini
Nini kifanyike? Anzisha Metropolis itakayo jumuisha hayo maeneo ambayo yapo integrated na Dar es Salaam ambayo nadhani itakuwa biggest and largest Metropolicies katika afrika.
Kwa sababu kiuchumi hayo maeneo yapo dependent kwa Dar es salaam.
Je issue ya kutengeneza mkoa mpya ipo viable endapo makao makuu yakiwekwa yakiwa kilwa ila utamlazimisha mtu wa Kisenvule kusafiri zaidi ya kilometer 300 kwenda makao yapya makuu ambao hata kutoka dar mpaka morogoro ni kilometer 200 chaguo ni lako wenye maamuzi.
Kwa nini usitengenezwe mkoa mpya wa kuzihusisha wilaya za Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia na ikaitwa Mzizima. Ambayo makao yake makuu yatakuwa Kibiti ila hii itakuwa ni kuongeza gharama za serikari, najua wengi watataka mkuranga kwa sababu ni karibu Mbagala.
Wilaya ya kilwa ni wilaya kubwa katika mkoa wa Lindi
Nilibidi nigoogle kujua GDP ya kila wilaya ,Uko sahihi kuasi ila ukitengeneza mkoa mpya wenye wilaya za kibiti rufiji,mafia na mkuranga,huu utakuwa mkoa masikini sana Tanzania,hizo wilaya kubaki kataa uchumi wake uko chini sana.ndio maana ikapendekezwa mbagala na sehemu ya kigamboni iwe sehemu ya huo mkoa mpya
Kinachotokea hakuna miundombinu ya kutosha ila huwezi sema unaipeleka huko uliposema.Kwahiyo mtu akitoka Mbagala au Kigamboni ambako utakua ni mkoa wa pwani na anata kwenda Chalinze kwenye mkoa wake huo huo bado itamlazimu kupitia mkoani Dar, right?? Then unakua umefanya nini? Mi kwa mtazamo wangu, mkoa wote wa pwani hasa wilaya za Bagamoyo, Kibaha, Chalinze zingeingia Dar tu, baadhi ya maeneo ya Kilwa yapelekwe Lindi au laa na yenyewe yaje Dar tu
Sasa hata wewe fikiria hadi kina mzee Mpiri na wenyewe wanajiijia tu Dar watakavyo; you know why? Watu wa mkoa wa pwani by nature hawaitofautishi Dar na mkoa wao, hu mkoa ungevunjwa tu na kuirudisha MZIZIMA bwanaKinachotokea hakuna miundombinu ya kutosha ila huwezi sema unaipeleka huko uliposema.
Angalia hiyo ramani unafikiri shida ni nini?View attachment 2136306
Pwani na Dar zinatakiwa ziwe mkoa mmojaKipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu.
Jiografia ya mkoa wa Pwani inashangaza sana, mtu wa Bagamoyo akitaka kwenda Rufijii au mafia lazima apitie Dar au apande chombo cha baharini. Ushauri wangu
Hizi wilaya mbili Kibaha na Bagamoyo zije Dar, ili kubalance mapato na uchumi wa mkoa wa Pwani Kigamboni na Mbagala yote iende Pwani,waungane na Mkuranga,Kisarawe, Mafia Kibiti na Rufiji.
Faida zake:
Jiji la Dar eS Salaam litapumua kwa kupata ardhi ya kutosha na kukua kwa kasi ya ajabu kibaha itakuwa kama urusi kwa technology na viwanda na Bagamoyo zitakuwa kama ukraine kwa utalii, pata picha chalinze iwe ni sehemu ya Dar es Salaam.
Tuje Pwani sasa.
Pwani kwa kupewa Kigamboni na Mbagala itachangamka sana, tatizo la Pwani ni kukosa amsha amsha. Mbagala itakuwa Dubai mpya kwa biashara mpaka sasa Mbagala inazidi baadhi ya mikoa kwa idadi ya watu na amsha amsha ya kibiashara njoo Mbagala kuanzia saa kumi jioni mpaka saa nne usiku hutaamini macho yako kila aina ya biashara utaikuta .pata picha Mbagala iko Pwani na na sehemu ya Kigamboni itakuwa Paris au Spain sehemu za kula bata kwenye fukwe.
Bandari ibaki Dar.Wakazi wengi wa Mbagala wana asili ya Pwani au Kusini mwa Tanzania, watafurahi kurudi nyumbani kwa style nyingine.
Chawa wa mama mfikishieni hii
Hapo ukitoa kibaha,bagamoyo na kisarawe unabaki na watu laki nne???angalia data zako😀😀😀laki nne hao unaweza kuwapata mbagala peke yakeNilibidi nigoogle kujua GDP ya kila wilaya ,
Idadi ya wakazi wake,
Ukubwa wa kila wilaya
Kujua mikoa na wilaya masikini Tanzania.
Mkoa mzima wa pwani una wakazi wasiopungia Milioni Moja.
Hivyo bado Tanzania Kuna mikoa na wilaya masikini zaidi na hazijawa dissolved kwa sababu hakuna economic potential.
Pili: kwa miaka 8 au 9 Kuna viwanda vingi vilivyoanzishwa mkuranga kiasi kwa takwimu 2020/2021 haziwezi kuwa masikini
Tatu: hizi wilaya zote zote na kibaha zipo ohe ahe kiuchumi, usichanganyikiwe na kibaha mjini pale ingia mbwinde huko utajionea.
Kwa hiyo issue ya umasikini hakuna wilaya iliyo na afadhali.
Nne: Uanzishwaji wa Wilaya mpya huwa unategemea tu economic output pekee basi tusingeanzisha wilaya ya mkalama kule singida.
Tano: Hebu angalia hiyo ramani vizuri halafu nipe economic potential ya kibaha na Bagamoyo ilioishinda Mkuranga na Rufiji.
Sababu yako sioni kama Ina mashikoView attachment 2136299View attachment 2136300View attachment 2136304
Hakuna sababu ya kuwa na wilaya na mikoa ambayo haina sababu za msingiInawezekana kama miundombinu ikiboreshwa
Tuna taka majimbo ambayo yana nguvu matano tuMikoa kumi tu inatosha tanzania nzima
Ya tukiwa huku vijijini kwetu hatusemi tunaenda dar ila tunaenda mjiniSasa hata wewe fikiria hadi kina mzee Mpiri na wenyewe wanajiijia tu Dar watakavyo; you know why? Watu wa mkoa wa pwani by nature hawaitofautishi Dar na mkoa wao, hu mkoa ungevunjwa tu na kuirudisha MZIZIMA bwana
Unafanya nisijue tunacho bishania ila naheshimu hoja zako.Hapo ukitoa kibaha,bagamoyo na kisarawe unabaki na watu laki nne???angalia data zako[emoji3][emoji3][emoji3]laki nne hao unaweza kuwapata mbagala peke yake