Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Wewe huijui mikoa hiyo miwili. Kuna Dar es Salaam 47 katika mkoa wa Morogoro.Mkoa wa morogoro unaujua wewe,?
Kwa taarifa tu huu mkoa ukiumega zinatoka dar 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huijui mikoa hiyo miwili. Kuna Dar es Salaam 47 katika mkoa wa Morogoro.Mkoa wa morogoro unaujua wewe,?
Kwa taarifa tu huu mkoa ukiumega zinatoka dar 3.
Kuhusu ukubwa kwamba Tanzania ina eneo kubwa kuliko hayo majimbo ya USA combined nadhani umeoverestimate. Tanzania ina 947,303 sq km wakati hayo yote yana 1,079,989 s km. Ungeondoa Jimbo la Virginia at least bado yana eneo kubwa kuliko Tanzania by 21,901 sq km.Umepangilia vizuri hoja yako na unaijua jiografia vizuri. Hoja ya kudhibiti ongezeko la watu hapa si mahala pake. By the way tuna mapori mengi sana hatuyafanyii chochote Tanzania haina dalili ya over population.
Nchi yetu ya Tanzania suffers from different challenges, but overpopulation is not one of them. This country has a land area larger than California, Michigan, Arizona, and Virginia combined, lakini idadi ya watu ni sawa na size of California's and Virginia's combined.
In a nutshell, data zipo pia.
Mbagala ni Tarafa, ni jimbo ina Mbunge, ina Hospitali, ina mabenki, soko, makanisa na misikiti,ina stendi za mwendokasi daladala; Mbagala imekosa mkuu wa Wilaya tu.Mbagala ni kata tu ila inazidi Singida mjini kwa idadi ya watu na mishemishe
Kwahio Morogoro iwe Dar? Hapana aisee sifa ya Dar ni kichanga safi😅😅😅 we kama unapoishi hakuna mchanga jua unaishi mkoani tu😂Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
Umbali uko sawa kutokea wapi?Yani bora mtu aishi chanika kuliko kisarawe au mkuranga..ingawa umbali uko sawa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Naboresha wazo lako kwa kupendekeza kuwa mkoa wa Pwani ubakie na wilaya za Rufiji, Mkuranga, Kibiti na Mafia. Bagamoyo na Kibaha ziende Dar.Suluhisho hapa ni kuanzisha mkoa mpyaaa utakaojumuisha wilaya za rufiji, mkuranga , kibiti, mafia hapo ndipo binafsi naona ni solution ila sio.kuichukua kigamboni kuipeleka pwani
Ukifanya hivyo mkoa wa pwani utakuwa mkoa masikini duniani,bagamoyo na kibaha ndio zinaubeba mkoa wa pwani kiuchumi,so pwani ikipewa hata mbagala tu na sehemu ya kigamboni atleast kutakuwa na maendeleo,watu wa pwani hawataenda kariakoo ,wataishia mbagalaNaboresha wazo lako kwa kupendekeza kuwa mkoa wa Pwani ubakie na wilaya za Rufiji, Mkuranga, Kibiti na Mafia. Bagamoyo na Kibaha ziende Dar.
Naona tatizo kubwa ni hizi wilaya mbili za Bagamoyo na Kibaha kuwa karibu zaidi na Dar kuliko wilaya washirika za mkoa wa Pwani
Ok kweli mkuuUkifanya hivyo mkoa wa pwani utakuwa mkoa masikini duniani,bagamoyo na kibaha ndio zinaubeba mkoa wa pwani kiuchumi,so pwani ikipewa hata mbagala tu na sehemu ya kigamboni atleast kutakuwa na maendeleo,watu wa pwani hawataenda kariakoo ,wataishia mbagala
SureMbagala inazidi singida mjini
Eti kibaha itakuwa kama Urusi,hivi wewe pita maduka 100 yaliyokaribu na wewe unionyeshe bidhaa ambayo ni made in Urusi kama utaikuta,vitu vingine mnajisemea tu.Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu.
Jiografia ya mkoa wa Pwani inashangaza sana, mtu wa Bagamoyo akitaka kwenda Rufijii au mafia lazima apitie Dar au apande chombo cha baharini. Ushauri wangu
Hizi wilaya mbili Kibaha na Bagamoyo zije Dar, ili kubalance mapato na uchumi wa mkoa wa Pwani Kigamboni na Mbagala yote iende Pwani,waungane na Mkuranga,Kisarawe, Mafia Kibiti na Rufiji.
Faida zake:
Jiji la Dar eS Salaam litapumua kwa kupata ardhi ya kutosha na kukua kwa kasi ya ajabu kibaha itakuwa kama urusi kwa technology na viwanda na Bagamoyo zitakuwa kama ukraine kwa utalii, pata picha chalinze iwe ni sehemu ya Dar es Salaam.
Tuje Pwani sasa.
Pwani kwa kupewa Kigamboni na Mbagala itachangamka sana, tatizo la Pwani ni kukosa amsha amsha. Mbagala itakuwa Dubai mpya kwa biashara mpaka sasa Mbagala inazidi baadhi ya mikoa kwa idadi ya watu na amsha amsha ya kibiashara njoo Mbagala kuanzia saa kumi jioni mpaka saa nne usiku hutaamini macho yako kila aina ya biashara utaikuta .pata picha Mbagala iko Pwani na na sehemu ya Kigamboni itakuwa Paris au Spain sehemu za kula bata kwenye fukwe.
Bandari ibaki Dar.Wakazi wengi wa Mbagala wana asili ya Pwani au Kusini mwa Tanzania, watafurahi kurudi nyumbani kwa style nyingine.
Chawa wa mama mfikishieni hii
Njoo huku ngerengere nikuonyeshe vifaru vya kirusi na silaha za kirusi,warusi walishapita huko kutengeneza chupa za chai na tooth pickEti
Eti kibaha itakuwa kama Urusi,hivi wewe pita maduka 100 yaliyokaribu na wewe unionyeshe bidhaa ambayo ni made in Urusi kama utaikuta,vitu vingine mnajisemea tu.
Sindio hapo bana! Moro nyumba zote zilizojengwa before lami ni chafuDar na matope au udongo mwekundu wapi na wapi
Nafikiria mpaka Sasa sijaelewa kamaanisha niini.Jamaa sijui alikuwa anawaza nini[emoji3]
Sasa wewe 21,901 sqm ni big deal?Kuhusu ukubwa kwamba Tanzania ina eneo kubwa kuliko hayo majimbo ya USA combined nadhani umeoverestimate. Tanzania ina 947,303 sq km wakati hayo yote yana 1,079,989 s km. Ungeondoa Jimbo la Virginia at least bado yana eneo kubwa kuliko Tanzania by 21,901 sq km.