The next JPM
Member
- Feb 22, 2023
- 22
- 46
Hope Wana Jf wote ni wazima,
Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
Naona unam-bipu mpwayungu village [emoji16][emoji16][emoji16]Hope Wana Jf wote ni wazima,
Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
Hao wamepataje hizo one, kama unahisi wamefundishwa na walimu wasio bora?Hope Wana Jf wote ni wazima,
Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
Angalau tunajua walifaulu; suala la kudeliver ni zaidi ya hili. Kuhusu kupeleka ualimu watu waliofaulu A, huk Ujerumani walianza siku nyingi. Unawezaje kumchukuwa mtu mwenye ufaulu wa D amfundishe mtu apate A! Tumia kilicho bora upate kilicho bora - that was their logicUna uhakika gani kwamba walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza watakuwa bora?