Ushauri wizara ya elimu

Ushauri wizara ya elimu

The next JPM

Member
Joined
Feb 22, 2023
Posts
22
Reaction score
46
Hope Wana Jf wote ni wazima,

Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
 
Wamipeleka smart mind kwenye ualimu watakosa wakuwasaidia kusimamia na kuiba kura kwenye chaguzi za kijani,walimu ni daraja la wanasiasai mafisadi na wahuni wanatumia kwa sana kwasababu walimu ni watu wenye uwezo mdogo wa kifikra na kiuchumi.
 
Hope Wana Jf wote ni wazima,

Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
Naona unam-bipu mpwayungu village [emoji16][emoji16][emoji16]

On a serious note hicho ndicho hufanyika huko nchi za Scandinavia. Google uone walipo katika dunia linapokuja suala la elimu bora!
 
Una uhakika gani kwamba walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza watakuwa bora?
 
Huo ndiyo ukweli, kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake
 
Hope Wana Jf wote ni wazima,

Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree
Kwanini?
Ni wakati sasa wale ambao ni Best student wawe enrolled tu kwenye taaluma hii,
Lengo kuzalishia walimu wenye ubora,,,,,
Na wasilisha
Hao wamepataje hizo one, kama unahisi wamefundishwa na walimu wasio bora?
 
  • Kuna hoja hapa.
  • Natamani kupata zile picha za shule zetu ili mpate kujionea mazingira ya shule yalivyo.
 
Ishu hapa mshahara ndio umfanya mwalimu awe bora wawaongezee pesa huone watakavyopiga kaz
 
Una uhakika gani kwamba walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza watakuwa bora?
Angalau tunajua walifaulu; suala la kudeliver ni zaidi ya hili. Kuhusu kupeleka ualimu watu waliofaulu A, huk Ujerumani walianza siku nyingi. Unawezaje kumchukuwa mtu mwenye ufaulu wa D amfundishe mtu apate A! Tumia kilicho bora upate kilicho bora - that was their logic
 
Back
Top Bottom