DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #281
Jamaa Ni mtu POA Sana[emoji4]Shetan mbona tunatembea nao na kukutana nao daily...
Unadhan shetani yuko mbali na wewe basiii
Sema ndo hvo inabidi upate mbinu za kumkwepa...
Ila Iblis Bin Shetan huyu hana baya
Madhara yake madogo sana kwa nilivyomsoma