Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Umeona eeeh[emoji4]
Utakua mama angu wa kufikia kabisa binamu[emoji2]
Analipiwa mahari kimjini
Dada feki
Mzazi feki
Mshenga mhuni tuu wa kitaa
Shangazi fekii
Na hata mahari yenyewe fekii
Hm
Ye shida yake si kuhalalishwa bwana
 
No sio watani,hii ni chuki dhidi yangu.You know why,nafunua sana siri za baba yake Shetani,sasa ina muudhi sana mpaka ana-nikebehi.
Ha ha ha...ugomvi wenu wa miaka mingi mno afu huwa hauishi.

Mnawezana nyie[emoji4]
 
Hivi utajiitaje Iblis Bin Shetani kama wewe sio wa Shetani?Ni wazi you belong to Satan! Kila jina au nembo ina maana, haitoki hewani.
Ila Shetani hana Ubaya labda unitajie wewe Ubaya wake ni upi ukiacha propaganda za watu kutenda maovu kuwa mawazo yako yanakutuma unafanya mabaya halafu unasema shetani wakati hata siku moja hujamuona
 
Analipiwa mahari kimjini
Dada feki
Mzazi feki
Mshenga mhuni tuu wa kitaa
Shangazi fekii
Na hata mahari yenyewe fekii
Hm
Ye shida yake si kuhalalishwa bwana
Ha ha ha ..itakua kapigwa kitu kizito Sana aisee[emoji3]
 
Ha ha ha ...
Bwana Pepsi anakupasua kabisa.

Kuna wezi wang flani walihusika kunivunjia duka, mmojawapo nilimjua ndo alowakodisha majambaz wale pikpik wakaibe dukan kwangu.

Nlichokifanya sikwenda polisi Wala Nini, niliacha siku kadhaa zikapita nilikwenda kwake usku na petroli nikamchomea Gari yake moto. Ikateketea mpk majivu

Na mpk leo hajui Kama Ni Mimi nilimfanyia vile.

Malipo Ni hapa hapa duniani[emoji4]
Uwiiiii nakuogopa binam
 
Naam kuna dada mmoja aliwahi kunifata analalamika hajatongozwa miezi 6 na anajua aliyemfanyia ni mwenzake ambaye wanashare bwana mmoja ila hajawaoa ili hali amewazalisha wote
Anajua huyo ndio kamtumia huyo jini akanifata nimshauri nikampa ushauri akasomewe na shehe maana alikuwa muislam nikagundua kumbe wanawake mnapenda kutongozwa
Me napenda kujaliwa na sio kutongozwa hovyo maana hata mateja wanatongoza
 
Ila Shetani hana Ubaya labda unitajie wewe Ubaya wake ni upi ukiacha propaganda za watu kutenda maovu kuwa mawazo yako yanakutuma unafanya mabaya halafu unasema shetani wakati hata siku moja hujamuona
Binadamu utamteteaje Shetani,unless you tell me you are not human,maana JF nako mm kuna mambo,majini yamo humu humu.
 
Uwiiiii nakuogopa binam
Hata usiniogope binamu,
Mimi tukiishi vizur Sina noma na mtu.

Ila ukinifanyia uhuni, nakulipiza kisasi.
Sinaga habar za kumuachia mungu.

Kuna mmoja nae ni dogo dogo anavuta mibangi naskia ndie aliewachoresha mazingira ya pale waje kuniibia .

Uyu namlia timing anashindwa kukaa kwny mtego, nataka nimteke nimkate visigino awe kiwete maisha[emoji3525]
 
Ha ha ha....
Ebu mtafute kwanza ujue kakumbwa na maswahibu gani uko[emoji4]
Si ni ndugu tutakutana tuu
Sema shida nikisikia tu sauti yake au nikimuona alivyo smart nasahau yote...
Me na yeye tumepita mengi sana na ndugu wakijua tumechuniana asee watajua tu hawa ni ishu za mapenzii.
 
Yaani hicho ndio kitu Cha kusikitisha zaidi......Ila akili za kike si unazijua?ukute utundu wote huu kisa tu ana compet na mwenzie aonekane anajua kuliko mke....ukute angeolewa kabisa angerelax zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WiFi mwaka huu tumepata..
Atakuja kustuka limezama...
Ngoja binam ajimegee tani yake bila hiyana
 
Ila Shetani hana Ubaya labda unitajie wewe Ubaya wake ni upi ukiacha propaganda za watu kutenda maovu kuwa mawazo yako yanakutuma unafanya mabaya halafu unasema shetani wakati hata siku moja hujamuona
Huyu Mathanzua hua anakusingizia mambo mengi sana Tena anakuamzishia Hadi nyuzi kukuponda kua una mpango wa kuivuruga Dunia na umelaaniwa na Mungu mimi hua najipa Kazi kukutea maana hua namwambia alete uthibitisho wa wewe kama upo na ubaya hua anaishia kuleta maneno Bora Leo nimewakutanisha mmalizane wenyewe maana Wmathanzua anasema unanzisha
New Word Order Ili utawale Dunia,
Haya Leo ni Leo kwenu
Iblis Bin Shetan na Mathanzua mmalizane Kwa sintofahamu zenu!
😂😂😂😂🔥🔥
 
Back
Top Bottom