Safi TU mi Sina tatizo na hilo, ila ujiandae kwa Shari na visasi Maana Mimi always simuachiagi mungu[emoji4]Huo ni ujinga ukiharibu uhusiano wa watu kwa kumlaghai mmoja wapo ujue hata wewe tukimlaghai atakutoroka akapigwe pumb kwingine
Kaka unamuoa lini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ila yeye kunidanganya kua niko peke yangu nyie mnaona sawa sio?[emoji848]
Tutachoma moto hiyo biashara inayokupa kiburi alafu tuoneSafi TU mi Sina tatizo na hilo, ila ujiandae kwa Shari na visasi Maana Mimi always simuachiagi mungu[emoji4]
Anakuwa peke yake amekuwa Mungu ?Ila yeye kunidanganya kua niko peke yangu nyie mnaona sawa sio?[emoji848]
Ana akili za kushikiwa huyo mwanamke soma visa vyake, akiwa bibi atakuwa kapokea mshara, mtu anapewa kila kitu na kazi katafutiwa na bonansi anapata anadai elifu 20 kila siku. Akiwa bibi atakuwa kavunaUko so manipulative rafiki yangu.
Hutaki awe na mtu wakati wewe una mke, Huwezi kumuoa, and the same time hutaki kumpa mtoto.
Sijui umri wake, lakini I think utamtumia for the rest of her life, by the time anashtuka ashakua bibi kizee bila hata mtoto wala mume.
Kweli hapa changa la macho [emoji23][emoji23][emoji23] binamu hujui kama ana mtoto wa kiume? Laaa!![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Una mtoto wa kiume?
Binamu yako huyo [emoji4][emoji4][emoji4]Ndio[emoji4]