Ushawahi kua ushajenga tayari unakaa kwako halafu mtaani una chumba umepanga unalipia kodi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI).

Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
 
😁
Screenshot_20260125_111635_Google.jpg
 
Mkuu,
Yote yanawezekana na wanaume wengi waafanya hivyo, hata DeepPond alifanya hivyo na nadhani angekuwa active kama zamani angekupa pros and cons.

Kupanga chumba kutakuongezea majukumu, so bear with it. Ila kutakupa balance kidogo badala ya kukutan kukutana lodge kila mara.
 
Haya maoni mazur sana nataman aje mwingne ambae ashawahi kufanya hivyo.
 
Mkuu,
Yote yanawezekana na wanaume wengi waafanya hivyo, hata DeepPond alifanya hivyo na nadhani angekuwa active kama zamani angekupa pros and cons.

Kupanga chumba kutakuongezea majukumu, so bear with it. Ila kutakupa balance kidogo badala ya kukutan kukutana lodge kila mara.

Ajiandae pia kuchapiwa kwenye 'ghetto' lake hilo hilo...
 
Back
Top Bottom