ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Huwezi kuwa na side chick akawa wako tu, haipo hiyo mkuu!Akizingua naleta mwingine, tena unakuta ni mitaa ya mbali huko hata sijulikani 😁
Huwezi kuwa na side chick akawa wako tu, haipo hiyo mkuu!Akizingua naleta mwingine, tena unakuta ni mitaa ya mbali huko hata sijulikani 😁
Huwezi kuwa na side chick akawa wako tu, haipo hiyo mkuu!
Hapo kwenye kusingiziwa mimba ndio pananipa mawazoNa kwann awe wake tuu? Anataka kuachieve nn katika hilo?
Hao wa hivyo hutakiwi hata kumfatilia, Japo pia lazima ujue una Risk HIV na kusingiziwa preg.
Wewe utakua ulimpangia karibuNiliwahi ,aiseh wife alikuja kama mbogo na kubeba Kila kitu Cha ndani!!
Nilirudi Tena nikiwa na second wife ikabidi niweke Tena furniture mpya!!
Mkeo akijua unalo!!
Au sio, kenyewe kanafosi kawe kanalala palepaleNzur sana ila huyo dogo dogo asikae,awe anakuja kuliwa na kuondoka
🤣🤣🤣kuna jamaa hapa mtaani kafanya hivo mzee.kapanga kimaster chake cha kutombea tu visichana vilivyo na tamaa na maisha
Unanipa mizuka sanaMbona kawaida kabisa mkuu. Ka single self kako unatembea nazo muda wote. Ndani kuna desktop na mahitaji madogo madogo ya muhimu
Kwamba dar nzima huyo ni mmoja kati ya wenye UTI
Hapo sasa huyo atakuwa mke wa pili na baadae atakudai umjengee baada ya kukuzalia,na hapo utakuwa umejitafutia matatizo tuAu sio, kenyewe kanafosi kawe kanalala palepale
Kwa amani ya moyo na misongo ya maisha kuna muda unahitaji utulivu kiasi bila kelele. Ukikaa humo unacheki zako movie kadhaa tena sometimes sio muda wote litatumika kuchapia.Unanipa mizuka sana
Itabid niende nae kwa akili nyingiHapo sasa huyo atakuwa mke wa pili na baadae atakudai umjengee baada ya kukuzalia,na hapo utakuwa umejitafutia matatizo tu
Muhim sanaaaKwa amani ya moyo na misongo ya maisha kuna muda unahitaji utulivu kiasi bila kelele. Ukikaa humo unacheki zako movie kadhaa tena sometimes sio muda wote litatumika kuchapia.
nilidhani unatafuta room ya kukuweka karibu na mitikasi yako labda kwako mbali kumbe unatafuta room la kuzinia? lolote baya likukute