comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
SoonUnachokitafuta utakipata
Toa maoni mkuu
Ngoja nisome hapoThread 'Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi' Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi
Mkuu,
Yote yanawezekana na wanaume wengi waafanya hivyo, hata DeepPond alifanya hivyo na nadhani angekuwa active kama zamani angekupa pros and cons.
Kupanga chumba kutakuongezea majukumu, so bear with it. Ila kutakupa balance kidogo badala ya kukutan kukutana lodge kila mara.
Haya maoni mazur sana nataman aje mwingne ambae ashawahi kufanya hivyo.Mkuu,
Yote yanawezekana na wanaume wengi waafanya hivyo, hata DeepPond alifanya hivyo na nadhani angekuwa active kama zamani angekupa pros and cons.
Kupanga chumba kutakuongezea majukumu, so bear with it. Ila kutakupa balance kidogo badala ya kukutan kukutana lodge kila mara.
Mkuu,
Yote yanawezekana na wanaume wengi waafanya hivyo, hata DeepPond alifanya hivyo na nadhani angekuwa active kama zamani angekupa pros and cons.
Kupanga chumba kutakuongezea majukumu, so bear with it. Ila kutakupa balance kidogo badala ya kukutan kukutana lodge kila mara.
Nikijihakikishia namfurumushaAjiandae pia kuchapiwa kwenye 'ghetto' lake hilo hilo...
Sio kweliUzinzi unapigwa chapuo hapa. Lol
Unataka nyumba ndogo Kigezo kubwa haitoshiNataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI).
Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
Both team to ScoreAjiandae pia kuchapiwa kwenye 'ghetto' lake hilo hilo...
BTTS kwa wadau wa kubet😅Ajiandae pia kuchapiwa kwenye 'ghetto' lake hilo hilo...
Akizingua naleta mwingine, tena unakuta ni mitaa ya mbali huko hata sijulikani 😁BTTS kwa wadau wa kubet😅