Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wanaume kwa kujimwambafai bana
 
Hahaha ndio kabisaaaaa tunapata wake tunaowaoa katika mazingira ya ajabu.. ndio maana unaambiwa NDOA BAHATI
sasa mkeo unamuita demu na wewe[emoji2] mi nikajua umemuacha single mother
ni kweli ndoa bahati sio kila mtu anayo , japo mwenzangu alijitoa kimasomaso ,maana mimi nikiambiwa tafuta mwanaume wa maana uolewe hii kauli siielewi[emoji2] sasa mi nitafute mwanaume namtafutia wapi
 

Mm ni gym trainer, nitafute
 
😂😂😂😂 Wangari Maathai njoo msikilize mdogo wako huku
 
Hapo umezingua aisee
Usingeshoboka kwa mara nyingine ungempotezea tu angeumia alafu angekutafuta mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja nikiwa bank ya Exim na deposit pesa, while tupo kwenye foleni ghafla alikuja mzee fulani ana asili ya kihindi, mzee alikua normal tu yani ukimuona alivyo unaweza sema ni homeless maana allikua kawaida sana. Sisi tupo kwenye foleni ghalfa akaja nahisi ni meneja wa bank akasema jamani naombeni mmpisheni huyu babu hapa, nyie wote hamieni dirisha lingine, muda si mrefu mtu wa kuwahudumia atakuja.

Kiukweli yule mzee binafsi sikua nimemdharau kama ile dharau ya kujikweza, ila kiukweli nilikua nimemchukulia poa, hasa ukijumlisha na tukio la kuhamishwa dirisha la kupata huduma.

Yule mzee bhana alikua na begi kubwa kama la wale wanaopandia milima, alifungua akatoa rambo (kipindi hicho zilikua hazijafungiwa) rambo kubwa zile za kufungia mabegi kama mtu unasafiri.
Aiseh ile rambo ilikua imejaa pesa mpaka juu haifungi vizuri, kwa haraka haraka zilikua zinaonekana noti za elfu 10 kwenye mabunda ya kama milioni 1, moja hivi, . Kiukweli kila mtu alibaki ameduwaa, basi binafsi nikiangalia pesa niliyokua na deposit nikachoka kabisa nikajisemea hakika hapa dunia kuna wengine tunawasindikiza watu kuishi [emoji3]

All in all lesson niliyopata siku ile ni kwamba usimchukulie mtu yoyote poa.
 
[emoji23] [emoji23]
 
Nina rafiki yangu tunapenda kumuita (mlela) ni kapuku na hana mbele wala nyuma. Si wakuzalaulika yaani hata du awe mkali vipi lazima akae kwa huyu mwamba. Na hata kumi,
Na hata uwe mkuda vipi huyu mwamba akiamua akutapeli lazima ukae.
Kwanza maneno anayo na waweza ona ni mtoto wa kishua hata avar bukta ya 1500.
Mlela kama unapita hii bigup sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…