Da realest
Senior Member
- Jan 12, 2019
- 106
- 160
Ungevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
Naaam[emoji122]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
kwahiyo huyo demu kawa mkeo au mama watoto wako wakujitegemea?[emoji849]Hii hali wahanga wakubwa ni WANAWAKE NA ZILE NJEMBA ZINAZOISHI KIBISHOO MJINI.
Kwangu imewahi kunitokea mara 2 lkn hapa nitaeleza hii moja ambayo imepelekea kumpata huyu mama wa watoto wangu.
Mwaka fulani nikiwa zangu DASALAMA nilikuwa nina tabia ya kwenda kisuper market fulani kupata bidhaa za hapa na pale, sasa kulikuwa na mhudumu mmoha nilimwelewa saaaaaaana, nikajaribu kumsemesha lkn wapi, na hata uvaaji wangu kwa kweli haurudhishi nywele mtihani kuchana, ndevu kama brash ya chachandu, lkn pia kila nikienda huwa nilikuwa naenda na pikpk yangu Boxer, nilimfukuzia yule manzi kama miezi miwili na nusu na sikupata hata namba yake. Mwisho ikawa nikienda pale namsalimia nanunua vitu niwezavyo kwa 30k yangu ndukiiii. Ukapita mwezi bila mm kutokea pale, nyuma huko ile PISI ikaacha kazi yake nami nilikuwa sijui, ikatokea siku moja yule pisi amekuja kwa ajili ya ishu za biashara yake ofisini kwetu. Lahaulaaaaaaa anayemuona anazunguka kwenye kiti ni mimi na nina mamlaka kidogo ya kumtuma mtu na akatii, ile pisi kwanza ilishtuka mm kuniona pale, mi nkaona isiwe kesi nikateremka chini ili niende zangu pata lunch, ila nimefika mapokezi nikajisahau napiga soga na dadaetu wa pale mapokezi ile ikawa inateremka ngazi ikanikuta pale down, akanisalimia nikaitikia akaniambia samahani kuna kitu nimesahau atarudi ili tuongee, mi nkasema fresh huku nikiondoka nje kabisa ya ofisi na kuwasha gari yangu kaliii, yule dada akaniwahi kuomba lift mi nkampatia na sikutaka kabisa mazoea sijui ya kuulizana ilikuwaje wala nn, sikutaka kumpa hata nafasi hiyo nikambwaga alipotaka mi nkaenda pata BIRIANI fureeeesh. Sasa nilivyorudi yule demu akakoma lazima nimuhudumie mm, akalazimisha mi nkamhudumia akaomba no yangu tangia hapo nimemzalisha watoto 2.
Hii ID inafanana na yangu mpaka tabiaHuwezi nilazimisha nikusalimie wakati wa kupokea huduma. Sio lazima kabisa wala haiongezi au kupunguza chochote.
Nikija customer care nahitaji huduma, salamu naweza enda shule ya msingi wakanisalimia watu zaidi ya 1000 na shida yangu isitatuliwe.
Ila dada zetu wa kichaga.. wana dharau saa nyingineMwaka juzi natoka kijijini nkafika himo pale nikakuta nyomi ya abiria, nkapanga nichukue vichwa au la maana kuna siku nilichukua abiria aisee alinitesa sanaa, yaani gari ikifika speed 100 ni anaongea adi napunguza mwendo afu alikua mmama, na abiria wenzie wakawa wanamsapoti na mi napenda speed kali,
Nkapaki gari nkaenda kuzurura kuangalia mazingira nikinunua na mahitaji mbalimbali, nkaona mabinti wa3 wamekaa kinyonge baada ya kukosa usafiri na ni saa sita mchana, nkaenda kuwasalimu huku nawahoji vimaswali vya hapa na pale wa2 wakadharau ila yule mmoja akawa ananipa ushirikiano kiasi lkn mwenzie akamwambia kwa kilugha "achana na hilo limtu njoo tuongee mambo ya maana" (nilikua nmevaa ovyo tu na nguo chafu kidogo maana nilitoka porini) hapo wanalaumiana kwanini hawakwenda kupandia gari moshi mjini...
Nkamaliza kununua mahitaji yangu nkaenda washa gari nkawafuata nkamwita yule mmoja alieonyesha ushirikiano akaja nkamwambia mna sh ngapi niwapeleke dar, akasema wana elfu15, nkawaambia ungeni iwe 50 tuende wakafanya hivyo japo kwa aibu na shikamoo wakanipa[emoji23][emoji23][emoji23].
Njiani wanaongea kilugha japo sio cha kwetu kabisa ila nawaelewa sana, hapo wananiteta kiana huku wakilaumiana pengine ningewapunguzia kama wasingenidharau... Waliuliza kabla kama najua kilugha nkawadanganya mi mchaga lakini sijakulia wala kujua hiyo lugha zaidi ya salamu tu
Nkafanya makusudi nkapiga simu kwa jamaa ninaemwazima gari "oyaa mshua vipi, nipo njiani saa 3 ntakua dar nakuletea gari yako" kuskia ivo ndio wakaanza kuniteta tena nawachora tu.
Pale segera nkadakwa na trafiki kwa speed, wakati nawabembeleza nkawaambia sina kitu hii gari ilikua mkoani imeharibika mwenye nayo kaniomba niirudishe dar akaomba kadi ya gari kusoma na leseni akasema unadanganya? Au na leseni ya mwenye gari? Hayo yote walikua wanaskia, nkamalizana nae nkampoza elfu 5 akauliza hao kwenye gari ndugu zako nkamwambia hapana, akasema aliekaa mbele nimemuelewa, akaniambia zuga kidogo nichukue namba akaenda kaongea nae kachukua namba nkarudi kuendelea na safari.
Nkaskia wanaambiana "kumbe ikari li la kajamaa ka, keusani nalo hata ku" mmoja akajibu "tra isarau vandu utevaishi" alimaaninisha kumbe hili gari la haka kajamaa, wala hafanani nalo, mwenzie akamjibu, acha kudharau watu usiowajua.
Kufika dar heshima debe, kumbe walikua wanachuo niliwapeka adi UDSM,
Pisi moja niliielewa kesho yake nkala mzigo baada ya hapo anataka kunifanya kitega uchumi kanijazia mzigo wa shida zake nkampotezea.
Sanaa, hasa wakiwa mazingira wanayohisi hawajulikani.Ila dada zetu wa kichaga.. wana dharau saa nyingine
Hahaha ndio kabisaaaaa tunapata wake tunaowaoa katika mazingira ya ajabu.. ndio maana unaambiwa NDOA BAHATIkwahiyo huyo demu kawa mkeo au mama watoto wako wakujitegemea?[emoji849]
Naunga mkonoooooo hojaaaa. hata wangu ni MCHAGAAAAAAAAAIla dada zetu wa kichaga.. wana dharau saa nyingine
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu.
Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo la uhakika haswaa, limejitenga na limetulia kweli. Nilipigilia kipensi changu na ka t-shirt flan hivi local nikachagua sehem nikakaa, kutizama vizuri nikaona kuna meza amekaa mdada mmoja hivi and of coz she is gud looking nikaamua kujitosa angalau kumpa hata hi 'coz tulikuwa wateja 2 tu, nikamfata nikamsalimu.
Yule dada kwanza alinishusha kuanzia juu mpaka chini then akaitikia salamu yangu ki-design kama namsumbua flani hivi. Nikaomba kujumuika nae kama asipojali. Jibu lake ndo lilinitoa confidence kabsa, alinambia: "Kwahiyo kaka unadhani kila msichana akikaa peke yake anahitaji kampani? Hapana sihitaji" Dah, mwanamme nikajizoazoa pale nikarudi nilipokaa. Nilikaa kama masaa ma3 hivi nikaamsha zangu. Sasa kilichotokea jana ndo kimenifanya niandike huu uzi.
Nilipokea maagizo kuanzia J3 ya wiki hii kuwa leo watakuja watu wa Taasisi flani ya kifedha kutoa semina kwa sisi wafanyakazi kwa ajili ya kutushawishi kujiunga na huduma za Taasisi yao, hivyo mimi nikapewa jukumu la kuwakaribisha na kuwapeleka sehemu ambapo semina itafanyika.
Asubuhi mida kama ya saa 3 hv ugeni ukafika, walikuwa watu kama 7 hivi, kati yao alikuwepo yule dada nilieonana naye weekend.
Wakaingia ofisini nikawakaribisha, wakati mkubwa wao anatoa introduction macho nikayakaza kwa yule dada, bahati nzuri tukagonganisha macho, akashtuka flani, nikajua kashanikumbuka.
Baada ya semina kuisha ikafika kipindi cha watu kujiunga sasa kwa walioshawishika. Nikamfata yule dada nikamuomba aje anielekeze namna ya ujazaji fomu. Alivyofika tu, nikamuuliza "Unanikumbuka?" Akachekaaa, akaniambia "Yani wewe, sikutarajia kama unaweza kuwa unafanya kazi huku", nikamuuliza ulitarajia niwe nafanya kazi wapi? Akaishia kucheka tu. Mawasiliano yake kanipa; fresh bila shida kabisa.
Sasa naomba kuuliza wadau, mshawahi kukutana na situation ya namna hii?
Sasa meneja wa benki ya watu utaninyima huduma kisa nimekudharau? Huduma utatoa tu. Yale yametokea nje ya kazi.Kuna siku nipo nilikuwa sina kazi nyingi ofisini nikatoka nje hivi nikamweleza PA wangu nipo nje nachukua Juice Fresh kutoka nje kuna gari limeingia Parking kwa speed kidogo liniingie miguuni jamaa hawakuwa na hekima walinitusi Mpuuzi wewe...nimerudi Ofisini naambiwa na PA wangu Meneja kuna wageni wako nikawaruhusu waingie nakuta wale jamaa walionitusi nikawakaribisha na sentensi fupi 'Karibu ABSA' wanageuzageuza nyuso zao hawajui waanze vipi.
Nahitaji mishe nilipe madeniKuna siku nipo nilikuwa sina kazi nyingi ofisini nikatoka nje hivi nikamweleza PA wangu nipo nje nachukua Juice Fresh kutoka nje kuna gari limeingia Parking kwa speed kidogo liniingie miguuni jamaa hawakuwa na hekima walinitusi Mpuuzi wewe...nimerudi Ofisini naambiwa na PA wangu Meneja kuna wageni wako nikawaruhusu waingie nakuta wale jamaa walionitusi nikawakaribisha na sentensi fupi 'Karibu ABSA' wanageuzageuza nyuso zao hawajui waanze vipi.
So anajuta kua kapoteza nafasi ya umarioo?Kuna jamaa yangu mmoja miaka hiyo anauza duka la ndugu yake pale kawe akatoke dada mmoja mdogo tu akamuelewa sana yaani zaidi ya sana na jamaa umri umeenda na alikua bado hajaoa, yule dada akamtaka amuoe jamaa hataki, nia yake anataka aoe wa kabila lake pia akawa ananiambia huyu dada mzuri sana atakuja kutesa, demu hakua mzuri wa sura kiviile ila hiyo shepu weka mbali na watoto, jamaa akamtosa kaenda kuoa kwao.
Akajajua yule dada ni mjeda pale lugalo na alikua na nyota 3 lkn alikua anamficha na nyumba waliokua wanaenda kufanya yao goba ilikua ya kwake yeye alihisi kapanga,
Jamaa hadi leo anajilaumu na kujitukana kabisa mana yule dada alikuja kuolewa na jamaa anaemfahamu na ndoa kubwa tu kamfungulia mme wake biashara kubwa tu kwenye fremu zake huko goba wanakula maisha tu.
Aisee mi mwenyewe baadhi ya mada tunazochangia wote naona tunafananisha tabia.Hii ID inafanana na yangu mpaka tabia
Kuna mtu anaweza kufikiri anajibishana mtu mmojaAisee mi mwenyewe baadhi ya mada tunazochangia wote naona tunafananisha tabia.
Hii hali wahanga wakubwa ni WANAWAKE NA ZILE NJEMBA ZINAZOISHI KIBISHOO MJINI.
Kwangu imewahi kunitokea mara 2 lkn hapa nitaeleza hii moja ambayo imepelekea kumpata huyu mama wa watoto wangu.
Mwaka fulani nikiwa zangu DASALAMA nilikuwa nina tabia ya kwenda kisuper market fulani kupata bidhaa za hapa na pale, sasa kulikuwa na mhudumu mmoha nilimwelewa saaaaaaana, nikajaribu kumsemesha lkn wapi, na hata uvaaji wangu kwa kweli haurudhishi nywele mtihani kuchana, ndevu kama brash ya chachandu, lkn pia kila nikienda huwa nilikuwa naenda na pikpk yangu Boxer, nilimfukuzia yule manzi kama miezi miwili na nusu na sikupata hata namba yake. Mwisho ikawa nikienda pale namsalimia nanunua vitu niwezavyo kwa 30k yangu ndukiiii. Ukapita mwezi bila mm kutokea pale, nyuma huko ile PISI ikaacha kazi yake nami nilikuwa sijui, ikatokea siku moja yule pisi amekuja kwa ajili ya ishu za biashara yake ofisini kwetu. Lahaulaaaaaaa anayemuona anazunguka kwenye kiti ni mimi na nina mamlaka kidogo ya kumtuma mtu na akatii, ile pisi kwanza ilishtuka mm kuniona pale, mi nkaona isiwe kesi nikateremka chini ili niende zangu pata lunch, ila nimefika mapokezi nikajisahau napiga soga na dadaetu wa pale mapokezi ile ikawa inateremka ngazi ikanikuta pale down, akanisalimia nikaitikia akaniambia samahani kuna kitu nimesahau atarudi ili tuongee, mi nkasema fresh huku nikiondoka nje kabisa ya ofisi na kuwasha gari yangu kaliii, yule dada akaniwahi kuomba lift mi nkampatia na sikutaka kabisa mazoea sijui ya kuulizana ilikuwaje wala nn, sikutaka kumpa hata nafasi hiyo nikambwaga alipotaka mi nkaenda pata BIRIANI fureeeesh. Sasa nilivyorudi yule demu akakoma lazima nimuhudumie mm, akalazimisha mi nkamhudumia akaomba no yangu tangia hapo nimemzalisha watoto 2.
pacha wanguNdevu na nywele zangu hazinaga ushirikianao, hivyo nywele uwa nanyoa kila wiki zikae size ya chini kabisa, ndevu naziacha lakini ziko kidevuni tu nazo hata niziache miezi hazizidi kimo flani.
Nilimsikia F.a anasema alianza kuwa na mwili alipoanza kwenda ym ili awe anakula sana, namimi nina mpango huo maana mwili hauna shukrani huu.
Duh taratibu queen...