Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna Afande mmoja alinunua Iphone 12 akaja nimtengenezee icloud nikafanya hivyo, malipo tulikubaliana 10000, nilipomaliza kazi akatoa elfu mbili, dah nikamwambia haitoshi na si makubaliano yetu, ( alikuwa ni trafki ) akasema hamna lolote nililofanya nichukue mbilinyi au kama vipi siitaki asepe, kiroho upande nikamwambia basi sio kesi we sepa, nikampa email na pass kwenye kikaratasi, akasepa, zikapita siku karibia mwezi ile simu anataka kuiuza, kikaratasi kapoteza, akaja kwenye ile ofisi kuniulizia akaambiwa nishahama wakampa namba, akanipigia akajitambulisha, mimi yule mdada afande uliniwekea icloud samahan kakayangu kama utakuwa unaikumbuka naomba niandikie nitumie, nikamwambia siikumbuki na hata ningekuwa naikumbuka kwa jins alivyonijibu nyodo siwezi mpatia...zikapita siku tena akanitafta tena nikamwambia mm nimehama mkoa nipo dar, akasema na yeye yupo dar, anataka tuonane, basi nikamuelekeza maghetoni akaja, ki ukweli nilikuwa naikumbuka, kwa sababu wakat naitengeneza alikuwa anaongea upuuzi flani hiv nikaona huyu anajisikia sana anaweza nisumbua ktk kunilipa so nikaiandika pembeni nikabaki nayo kwa matumizi kama haya, basi kaja mwenyewe kajipodoa mtu yumo, nikamwambia hii ishakuwa msala hapa ni lazima tuwasiliane na jamaa wapo United states ndio waifungue na gharama ni laki nne, dah kalia lia akatoa laki tatu nikaichua kwanza nikatia pum**ni, nikamwambia niachie simu siku 7 itakuwa ishatoka, basi kuanzia hapo akawa anawasiliana sana nami hasa akitoka kazini, simu usiku za kuulizia simu yake, sasa siku ya sita kapiga nimemjibu kesho inaweza kuwa tayari lakin hakat simu story nyiingi mara mpaka sa hii uko nje unafanya nn mkeo yuko wapi, kipindi hicho sijaoa nipo nipo tu nikamwambia sister sina mtu kama vipi njoo nikuweke, kama utani kaanza stak nataka mara si utatumia ndom? Kufupisha story ni kwamba nilimuweka, nikampa simu yake ikiwa fresh yaan mm niliiformat nikaiweka ndani siku zote hizo. Akazoea nikawa naweka kila siku mani*a, anatuma miamala tu 50, 70, anakodi hotel mpaka ule muda wa kazi sometimes anachepuka mi naenda naweka, nikahongwa Ile Iphone, hiyo ndo siku nikanunua line mpya maana wiki iliyofuata nikahama mtaa na nikaoa..
 
Mkuu kiukweli hapo ulikuwa unakula majasho ya makonda na madereva wa daladala wakishakamuliwa huko ndio unakuja kuhongwa wewe.
 
Duh jamaa naona kama ulipitia miburani iviiii but sorry nikiwa mistaken.
 
Doctor alimkuta nje ya Hospital jamaa mmoja anavuta sigara akamwambia Bwana usivute Sigara akamtukana sana yule Dr !!!! Kuumbe bwana ni Mgonjwa ana Gonnoerrhoea!!! akenda kukata kukata kadi kuingia ndani anakuta ni Dr yule yule aliye mtukana nje!

akaomba DR akamsamehe yakaisha tu kiroho safi samahani yakaisha mpaka leo ni marafiki wako hapa
 
Nahisi wewe ndio huyo Dokta. Correct me if i'm wrong
 
Vp mzigo umekula
 
Ni wewe
 
😄😄😄😄
 
aisee, nilichojifunza ni kwamba wengi wenye nafasi na uwezo hawana complications kabisa. Wenzangu na mm sasa 😄😄😄
 
Wewe doctor acha kuvuta masigara kazin unakela watu
 
Ahaha umecheza kama pele ila nawaza siku mwenye gar akutane na hao madada na ww ukiwepo alaf wamkubali mchizi then wajue gar ni lake co lako.. utakuwa kwny hal gan cjh
 
aisee, nilichojifunza ni kwamba wengi wenye nafasi na uwezo hawana complications kabisa. Wenzangu na mm sasa
😄😄😄shemej kaenda kikazi Los Angelos LA
 
Pesa za ndumba hzo mkuu, pesa halali huwezi jinyima kula vizur
 
Tuna tofauti kijinsia
Ila katika eneo la kazi ama elimu haimaanishi mwanamke ana uwezo wa chini

Mh Rais ni Mama Yetu Mpendwa SASHA🥰
 
Kama Mimi, kuvaa navaa lakn so kivile yaani halafu Sina mengi kivile kujikosha Kosha yaani Niko normal Sana. Sasa kawaida ya baadhi ya dada zetu kudharau. Dada mmoja alinichukulia Kama hivyo anavyoniona hakuwahi kunijali Wala kunithamini katika vijana Basi Mimi aliniona Kama mbwa tu vile halafu nilikuwa natumia ki sumsung Cha batani ndiyo kabisa yaani. Sasa siku moja boyfriend wake akaja katika kampuni frani hivi kufanyiwa interview. Tukamuinterview but Mimi sikujua kwamba ni boy friend wa Yule dada Ila tulimfanyia interview fresh ikabidi abaki tu kusubiri majibu ndani ya siku chache. Siku chache badaye nikawa nipo kitaa nikawaona yule jamaa akiwa na Yule msichana. Jamaa akaniita kwa heshima. Habari yako mkuu? Nikamjibu poa mambo VIP? Akajibu poa mkuu, basi akanikimbilia nakuanza kuniambia brother naomba Sana Ile ishu nisaidie Mimi huku kitaa life ngumu Sana brother. Yule mdada akabakitu anatuangalia. Mi nikamjibu kwamba Mungu akipenda utafanikiwa. Sasa kuanzia hapo Yule dada akiniona ananishobokea Sana Tena salamu zake ni zakuchangamka Sana na ananitazama kwa tabasamu Sasa sijui boyfriend wake alimwambia Nini kuhusu Mimi mpaka kabadilika hivyo nakuanza kunijali kiasi hicho.
 
Mzee wa ABSA nimekumbuka leo .

Hujaachiwa ban tu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…