Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Wengi sana mko ivo,

Mfano kuna wadada wa3 wanafanya kazi duka la jirani na kabiashara kangu sasa ofisi yao ilihamia siku za karibuni mwezi wa 5, yaani walikua na dharau hata salamu hawatoi sa ingine, ukiangalia wanavyovaa vizuri utasema ndio wenye duka..... Kumbe wanalipwa ela ndogo sanaa hata kula yenyewe wanajibana wakati mwingine wanajichanga wanakula miogo na maji
Sasa walivyojua kabiashara ni kangu basi kila mmoja kwa wakati wake anajipendekeza kiaina mi wala sina noma nimechangamka tu
Sasa mmoja kaja tu anajichekesha na utani nimnunulie saa, nkatafuta ya mda mrefu ishachoka kiaina nkampa.
Ila nilishakaa nao nkawasema kuhusu hiyo tabia yao, nkawaambia unawejikuta unamletea nyodo boss wako wa kesho au mmeo bila kujua, wananiheshimu sana sa hivi

Kuna wanawake wanaringa jamani acheni tu. Hata wanaume pia wapo.
 
Nacheka hapo kwenye marehemu ki_NGO [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Zaa kingine bwana. You are never defeated unless you give up
It was a suprise kwangu.

Jirani yangu aliokuwa wanajifanya ni Boss wa Ikulu mtaani muda wote kanuna na miwani yake mieusi alikuja kunihudumia Chai Ofisini kwa Mama Salma Kikwete wakati wa WAMA, kumbe Alikuwa Office attendant pale tena wale wa oya oya na mie na wenzangu tulienda kupeleka project paper ya ki NGO chetu ambacho ni Hayati kwa sasa kuanzia 2015.
 
Hii ya kujisifia muonekano mbovu nayo hata haiswihi bwana.
Sasa ofisini kwako watu wanakufananisha na mhudumu, potential clients and investors wanakuonaje. Etiquette ni muhimu aisee
Kuna demu frani tulikutana masaki(chole road) nipo very normal.daaaaah yule demu si akajua kua nafanya kazi ya usafi hapo ofsini kwetu.Siku anaujua ukweli nilishitukia nipo nae magetoni
 
Kila mtu kaandika ya kwake ngoja na mimi niandike ya kwangu kipindi ninemaliza form 4 mkoa fulani nikaenda mkoa mwingine kuna ndugu zangu nimekaa pale ndugu yangu kafungua banda la mkaa nikasema ngoja nikae hapa niuze basi watu wanakuchukulipia poa sana km muuza mkaa huna jipya.mara tokeo limetoka huyo advance then chuo ila watu wengi mtaa ule hawakujua harakati zangu baada ya mkaaa maraa eeeh nikapata field karibia na mtaani pale pale kuna shirika la uma nikaa kitengo matata full upepo kwa hiyo wale waliokuwa wananiona muuza mkaaa walikuwa hawaamini kinachoendelea

Funzo usimdharau mtu kwa muonekano
We nae sa si field tu
 
Eti muheshimiwa we ulisikia wapi Mwanamke anatafuta mwanaume amuoe[emoji23][emoji23]
Huwezi kutafuta wanamaanisha unachotakiwa kufanya kuna mazingira unatakiwa kurekebisha au kulegeza baadhi ya mambo, sasa kila mwanaume unamuuliza umepata wapi namba yangu, mimi tu meseji zangu PM hujibu kabisa[emoji3][emoji3]
 
Sasa kama hata uyo wa kupata wapi namba hayupo ntafanyaje[emoji15]
Mimi wanajua nachagua sana kumbe walaa basi tu napenda ustaarabu,mwanaume anaeandika bac,xaxa,kwio ake sitaki kabisa bora niwe mtawa[emoji2]
 
Imeisha hiyo, kama mtu mzima nimeelewa

Tukutane chemba
 
Sasa kama hata uyo wa kupata wapi namba hayupo ntafanyaje[emoji15]
Mimi wanajua nachagua sana kumbe walaa basi tu napenda ustaarabu,mwanaume anaeandika bac,xaxa,kwio ake sitaki kabisa bora niwe mtawa[emoji2]
Kuna jambo utalifafafnua nikija PM, au PM umefunga hutaki wageni
 
Back
Top Bottom