Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Kuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.

Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.

Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.

Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale Obey waniambie wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
F*la wewe hahaaaaahaa
 
nilimkazia dada mmoja alipotaka nisalimia, hata nilipo jua yuko kitengo kizuri sana bado nilimkazia maana niliona ni ubwege kujishusha

mwisho wa siku alinifata akanambia we ni jeuri sana ila ndio mwanaume anafaa kuwa ivo

tangu hapo n mchizi wangu na hunipa assist sana tu
 
It was a suprise kwangu.

Jirani yangu aliekuwa anajifanya ni boss wa Ikulu mtaani muda wote kanuna na miwani yake mieusi alikuja kunihudumia Chai Ofisini kwa Mama Salma Kikwete wakati wa WAMA, kumbe Alikuwa Office attendant pale tena wale wa oya oya na mie na wenzangu tulienda kupeleka project paper ya ki NGO chetu ambacho ni Hayati kwa sasa kuanzia 2015.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiufupi mleta mada inaonesha anashobo dundo. Au anatamani apendeze flani ila muonekano wake hauna connection na nguo anazovaa. Yani hata anunue nguo ya bei hapendezi. Huwezi kumkuta mwanamke sehemu ukaanza kushoboka, south Africa unapigwa chuma unakufa tunakuona.
Hivi ni kweli kaka?????Kushoboka shoboka au ucheshi sio mpango????
 
Mi kuna manzi mmoja katika harakat za kusaka tonge ikatokea tuna mawasiliano na yalikua strictly kikaz zaid cz wao walikua na ma distributor wa products flan hiv za security na mi nikawa moja ya wateja wao.
Sikua namjua kiundani na mawasiliano yetu yalikua nadra sana ile kikaz kaz na mazoea kwa mbaaaali.Status zake watsap na view na yy zangu anaziona.Kwakua napenda muzik basi alikua ananikosha kwa baadh ya vi clip anavyotupia mara moja moja sana navi comment.
Siku moja nikawa sina ishu kabisa job na niko bored na bahat mbaya sana akaweka status ilonivutia basi kama kawaida nika comment (yy zangu huwa ha respond japo hizo mara moja moja sana naziweka) basi aka respond finaly tukaanza kuchat.
Tukachat mara ujinga ukaingia humo ndani na u cant believe siku hiyo hiyo nikamgonga mzigo vizuuri tu kiroho safi.

SASA iko hiv,
Ofcz mm nilimchukulia poa kumbe hayuko hivyo.Anajimilikia ka usafir kake mwenyewe kazur tu (mi zangu daladala so mpaka nampanga akajaa nikajua na yy wa level zangu [emoji16][emoji16][emoji16]). Mida tunakutana ndio nikalijua hilo,nikapiga mzigo na kwa aibu nikamshikisha 40k ila manka yule akazikataa kata kata.Nikaona oohoh leo nimepima vibaya kumbe na yy akanichukulia mambo safi hela ninazo asijue mimi ni bahili kishenzii [emoji23].
Sikua na mpango na game tena na yy akanitengenezea mazingira next week yake nikagonga tena.Ohoooh sijui alijua na leo nitapanda dau tena!!!!???. WAPII.
kesho yake akapiga mzinga nikachomoa..
Week ijayo yake akani set tena Shi 100 mfukon sina.
Kwa mara nyingine akani text "leo ninw hamu kitimoto, ningepata kilo 1 jion yangu ingeisha freshi." Nikaona isiwe kesi nikamtumia 5000- elfu 5 [emoji4] bila ya kutoleo.AKANIPOTEZEA MAZIMA hata message za kikazi hajibu tenaa..

Baadae saaaana huko akajaga ni text, HUENDANI KABISA NA UNAVYOONEKANA. WW BAHILI SANA.

Kwa kifupi alinichukulia nina hela kumbe njaa tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 1551569View attachment 1551569

.
 
Wanaume mnaolalamika wanawake wanawadharau, sasa, kama umevaa na kukaa hovyo unategemea nini?
Mbona hamshobokei wanawake walio hovyo kama ni kweli hamtilii maanani outward appearance? Mjitafakari
Kingine, inaonekana tunashida kubwa kwenye maadili yetu. Kwanini tunaambizana ya kuwa tunatakiwa tuheshimu watu wote kwasababu anaweza kuwa na kazi nzuri au unaweza kupata shida akakusaidia nk? Kwanini tusifundishane kuheshimiana kwa upendo kutoka moyoni kuliko kutishana? Hi ndio sababu tunakua wanafiki na chini kwa chini tunachukiana.
Mimi binafsi uwe muokota machupa jalalani au meneja wa wapi, nita watreat sawa bila kujali chochote. Ndio maana kwa watu wenye position kubwa au wanaotegemea special treatment kutoka kwangu wananiona nina dharau, ili hali wale watu wanadharaulika na jamii wananiona sina shida yeyote.
Kuhusu kudharaulika kwasababu ya muonekano wa nje, sijawahi. Sana sana watu wakiniona matarajio yao yanazidi hata uhalisia wangu. Lakini watu wengi, hasa wanaume wananiona nipo shallow kichwani (sexism). Wanahisi siwezi kufanya maamuzi magumu, kuchanganua mambo, kutetea hoja au kuwa na skills kwenye male-dominant fields. Wanahisi nipo kama pambo na nikiwaprove wrong kuna wanaofurahi na kuna wanaonichukia na kunipiga vitu kwa nguvu zao zote.
Baaadhi ya vitu umeongea point!!!Lakini hilo la kuprove jinsia ya kiume wrong ni sawa na kutwanga maji kwrnye kinu!!!Utapoteza mda
 
Nlipata ajali ya kugongana na mbw flani hivi ya jamaa alikuwa amelewa chakali. Mm naendesha passo.
Jamaa alitoka alinitukana matusi yote ikiwemo kunitishia kunipiga risasi. Akaita wwnzake waliokua anakunywa nao mmoja wapo anatoka ofisi ya DCI , wakaomba tuelewane mi nikawambia hakuna gari iliyoumia so kila mtu aende home. Jamaa wanasisitiza mm ndo nimemgonga so nikubali kutengeneza gari, nikawambia hakuna gari imeumia. Jamaa akaona sio shida anitishia bastola nikamwambia bastola hauna na kama wewe mwanaume basi kaichukue uje unipige usinitishie. Nalivoona hivo nikaita polisi ilikuwa usiku. Polisi wakaja wanapima ikabidi nimgeuzie kibao nasema yeye ndo kanigonga and amelewa. Jamaa ni mwanasheria ofisi binafsi. Tulibishana sana polisi akashindwa kutoa maamuzi coz wanafahamiana na jamaa na kwa mazingia ya aajali yy ndo alinigonga ila ki uhalisia mm ndo nlimgonga.
Tumeenda tukaacha magari central. Kesho yake mm nikachukua gari ofisini nikapewa na dereva kunipeleka jamaa nikamkuta pale kapauka mm nashika kwenye vx dereva mwenyewe utadhani ndo bosi wangu. Alivoniona akashtuka na kunywea sana. Yy ndo alilipa rushwa nikamwambia poa mm nitaitengeneza gari, akasema ngoja aende kuosha nikamkuta anaosha gari. Mwoshaji nikamwambia hebu osha vizuri hapo kwenye weupe mwoshaji akaosha rangi ikaakaa sawa alivokuja nikamuuliza wapi nilipokugonga akakosa. Nikamwambia ungekubali ushauri wangu tusingefika huku
 
Mm miaka hii nimeanzisha michezo ya kizungu. Nikiwa na mihadi na mtu nionane nae namuelekeza aje sehemu ya kulia chakula hotel kubwa kubwa nikifika kule naagiza kisosi kidogo cha mboga za majani au kikombe cha maziwa na yai moja la kuchemsha hapo najua hata 10K haifiki. Mda huo chai inachemka nachukua sim naanza kuchambua timu za kubet huku namsubiri best yangu aje. Basi wahudumu wanajuaga huyu jamaa mnyamwezi au kaishi sana mbele, kumbe nawaangalia wazungu Instagram alafu naigiza.

Kudadek zako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom