Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Kuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye watoto kabla yako ni ngumu sana. Birthday yangu ni New Year, huo mwaka nilichukua holiday kazini nilijua New Year na birthday itakuwa romantic time. Khee nimeambiwa wanakwenda sea side
Kuna mahusiano na ndoa ,ni vitu viwili tofauti,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye stori yako...huo mstari wa mwisho kabisa ndipo unapokosea.....utakufa kibudu
 
 
ndo maana nikasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,aje mume wake naye Alex yaliyo upande wa pili,haiwezekani mtu umtreat mwanamke vibaya bila sababu labda huyo mumewe awe tahira

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenyew nahisi lazma kuna sehemu alianza kukorofisha mwanamke, ndio maana jamaa anakuja na tahadhar,
Sometimes wake zetu wanaleta shida sana kama kubagua ndugu, kuonesha tamaa kwenye Mali na wakat mwingne ndimi zao pale mnapokorofishana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hili ndilo tatizo la kutafuta pesa na mwanamke,hapo kachangia hela ya ujenzi anataka na yeye ajione baba mwenye nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Masai dada si ndio alielezeaga ile story ya kupanda mlima Kilimanjaro ...kwanini mumeo anakutesa ?hajui Huku jf Kuna watu wanakupenda ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww huna mume, bali unatahira mwenye uume.... Huwezi kuwekeza nje ya ndoa yako... Security ya mali ni ndogo mno... Na huwezi bagua watoto maana hujui nani mungu kamuandaa kwaajili yako uzeeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitathimini huna makwazo juu yake
Angalia penye mapungufu ufanyie kazi
Kwani si mda mwingine makwazo yakizid huwa tuna act kama huyo
Ila tumesikia upande mmoja wa shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana mkuu, usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi, hayo naamini ni mapito tu. Ombea ndoa yako Sana.
dahh Jamaa sijui kapatwa na nini, wanaume wengine tunatamani wake zetu wangekua kila Siku wanatuambia wana ham na sisi na wanatuhitaji.
 
Inaniumiza sana mwanamke anapoolewa alaf ananyanyasika ,dada zangu ambao bado ndoa mjfnze haya uckmblie ndoa na mwanaume hujafaam meng kusu yeye na ndo mnachokosea jarbu kuchngz familia ipoje wanavoish ujue mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…