Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Kuna kesi zinazohusu hisia kuzitatua kunahitaji uwe na hekima sana maana hapo hatuongelei kitu kingine tunaongelea moyo unaotaka faraja na pumziko.

kesi za namna hii kwa muhusika kama wewe Masai dada,najua unampenda mume wako sana na ndio mana hadi leo hujapata hata wazo la kudanganyia toto umsaliti,hiyo inaonyesha jinsi gani umekwiva kwenye haba na mumeo.

sasa kwa case hii mpk umeifikisha hapa yaonyesha unahitaji pumziko,na hili pumziko ili lisije kwa kudhuru mtu yeyote (hasa mwanao na wewe) nashauri ufunge macho ufanye hiki ninachoenda kukushauri.

Nenda mahakamani,elezea lengo lako lakutaka kuachana na mwanaume Mumeo ataitwa Mtatenganishwa kisheria,kuhusu nyumba ambayo deni lake bado unalilipa itauzwa hiyo nyumba kwa AMRI YA MAHAKAMA kisha pesa zita clear deni na amount itayobaki mtagawana pasu kwa pasu.

Amount utayopewa na mahakama itakua ndio kiinua mgongo chako cha kuanza upya maisha yako hta kama utaanza ktk kupanga its ok as long as upo kwako na moyo wenye amani.

Ambacho sitaki ukifanye kwa sasa ni Kujiingiza tena kwenye mahusiano na mwanaume yeyote simama kwa miguu yako mwenyewe nakuhakikishia hautaanguka tena kwan umeshajua makosa uliyapata wapi.

Ukifika muda sasa umeshaimarika na unaiona future yako sasa ruksa kutafuta yule umtakae ambae una uhakika atakuja na kufukia mashimo na si kuongeza mashimo na majeraha (kuwa makini eneo hilo)

ila kwasasa namalizia kwa kurudia tena Ukiufata moyo wako ukaendekeza mapenzi mazito juu ya mume wako,nakuona utakavyoenda kufa kwa kujiua au kugongwa hata na gari barabarani kisa tu ni mawazo.

Vunja hiyo ndoa mahakamani,Start again.

Asante na pole sana masai dada
Unaumwa wewe
Afu pesa alizokopa wakajenga inakuwaje?.

kashasem kipato ni kidogo ana mkopo
Yani utoke kwako ukapange inahusuu
Eti badae utafte mtu malaika yupi kwa mfano na mtu mshazaa

solution ni kutafta side guy wakiwa humohumo ndani ya nyumba low profile tu wenge limuishe kwanza aache kujali viroja vyake
 
Ilianzia hapa.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Habari,

Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho.

Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani.

Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti wa kazi. Na mimi katika maisha yetu nimelelewa na mabinti wa kazi, sipendi wateseke kabisa maana niliona walivyomsaidia mama enzi tunakua, so shida ikaanza anamuachia yule binti kila kitu afanye, hadi ampikie amuamshe chumbani, yale mambo yalikua yananikera nikaanza kumsema kwa nguvu sana, hakubadilika. Ikabidi nimwambie kaka yake. Kaka yake akasema kama unamuona msichana wako anapata shida basi nitamuekea msichana wake yeye

Ile hali ikaendelea sana kwa muda na yule binti alikua mdogo kwa hiyo ikabidi niwe napika mwenyewe, siku zikaenda akaja tena mdogo wake wa kiume, wote kazi ikawa ile ile, huyu wa kiume hadi anamwambia dada amfulie nguo. Nilikua naongea napiga mzigo nadeki mpaka mimba ina miezi nane ndo mama angu akaja.

Kiukweli niliteseka mimba ya huyu mtoto, ugomvi ndani ya nyumba hautuliii kabisaa; wakaungana wote na mama zake kwamba niachike. Na kweli mume wangu akasema natamani kukuacha ni vile tu tumefunga ndoa.

Hapo nimeskip kipindi cha ndoa maana tulifunga ndoa tayari huyu binti tunaishi nae kuna mengi yalitokea lakini nitaeleza tu tukio moja.

Usiku wa kesho yake ndio ndoa akaniambia kwa hiyo kwenye hiyo saluni uliyofanya booking na mimi nitasuka? Nikamwambia ni maids tu wewe hautaenda pale, aliangua kilio imagne na kuna wageni, mume wangu haya maswala ya maids hajui anasema kwanini unaenda kuremba watu baki unamuacha huyu? Akaninuia tumeenda kusameshana wakati wakuvalishana pete ya ndoa.

Unaweza ukahisi movie ila sio movie ni maisha watu tunapitia.

Wakati wa sherehe huyu binti na wenzake kwenye ile meza ya wazazi wangu hawakupeleka vinywaji kabisa maana wao ndo walikua kwenye hiyo kamati ya vinywaji na mama zake wadogo.

Sasa huyu binti alikuja baadae kwenda hostel mimi mimba ikiwa kubwa kama miezi 8 ambapo na mama ndo akaja. Sasa wakati wa X-mass maana ilikuwa hata bado sijajifungua kaka yake akampigia simu aje kula sikukuu nyumbani, hakuja kabisa akaenda kwa dada mmoja ambae alikuja baadae kuwa mtu wa karibu na mimi. Huyo dada akamwambia mbona hujaenda kwa kaka kula sikukuu? Akasema, KAJAZA NDUGU ZAKE SIWEZI KWENDA PALE.

Kiukweli alikua kaja mama yangu na mjukuu wake na mdogo wangu, alikuja kusalimia, nikihesabu muda kwa ujumla waliokaa pale ni kama wiki tatu, dogo akaondoka na mimi nikawa nimejifungua nikakaa wiki2 nikaondoka na mama kurudi nyumbani.

Sasa imagne watu hawajakaa hata mwezi yeye kaona kero ila wenyewe miaka nenda rudi wapo.

Alikuja kumaliza chuo ila hakupata kazi, akaenda kwao akarudi tena akasoma tena akamaliza hakupata kazi. Na hii ya mara ya pili, wembe ukawa ule ule, hafanyi chochote analala tu dada amfanyie kila kitu.

Sasa hii mara ya tatu anasoma tena ila anawahi kuondoka asubuhi jion kuna siku anachelewa kuna siku anawahi kurudi, ila ndo hivyo hasaidii chochote, yaani dada ndo afanye kila kitu.

Namuuliza anasema naoshaga sahani yangu pekee. Namuuliza na hivyo vingine anasema nawahi kuamka kwa hiyo siwezi.

Leo mpaka naandika niko bize napika yeye amekaa anachat, nikamwambia mimi siwez kukupikia wewe unachat hapo jipe shuhuli wala hajanisikia kitu. Kaenda kununua chips.

Mbaya zaidi nyuma ya pazia kuna rafiki yake mume wangu wametafutana wanapanga yao huko (na huyo kaka alihusika sana kwa yule baby mama wa mr kumuondoa)

Na kingine kikubwa ni kwamba mama yake anaona kawaida tu hata ukimwambia.

Ashawahi iba nguo zangu akaenda kugawa, aliyempa akapiga picha akaweka Insta nikaiona ile nguo nikambana akasema alimpa, nikamwambia akaifate akampigia mama ake na mama ake akasema muulize (yaani aniulize mimi) hiyo nguo ni bei gani atume ela.

Nimeruka mambo mengi ila kuna dada wa saluni pia alishawahi kuniita akaniambia kuwa makini na huyu binti anaweza akakuua.

Sasa ndugu zangu nifanyaje hapa, wako wawili yeye na huyo shemeji wote wanataka tuwahudumie kama ambavyo namuhudumia kaka yao yaani mimi na dada ndo tuwafanyie kila kitu.

Na kingine kikubwa ana mawasiliano ya karibu mno na yule dada aliyezaa na mume wangu pamoja na yule aliyehusika kupika figisu.

Nifanyaje kuimaliza hii nightmare wandugu maana kila nikimuona anapita nakumbuka machungu hasa enzi za mimba maana ilikua niachwe kwa sababu yake.

Roho inaniuma, nina uchungu sana

=======

Sent using Jamii Forums mobile app
Cresida hakuna ndoa ya watuwatatu duniani wewe siku moja tenga andaa kikao chenu wawili fungua kikao kwa maombi baada ya hapo anza kumwambia namna ambavyo hupendi vurugu ambazo zinaendelea kwenye ndoa yenu elezea yote kuanzia huyo dada mtu,matukio hayo yote kwa ujumla wake baada ya hapo mwambie na yeye aeleze ni mambo Gani ambayo yamekwaza kiasi kwamba ndoa inakwenda mrama ,pia wakati mnaongea mpe nafasi ya kujimwaga sana hapa ninamaana kuwa hata kama atafikia hatua ya kutukana wewe mwachie nafasi usimkatishe hata kidogo kama tatizo linaendelea pelekeni kwa wazazi maana inawezekana wazazi wakatatua mkwamo wa ndoa yenu ikishindikana kabisa sisi wakristo tunaenda kwa padre kama tatizo bado basi mnatengana ,,,,,,,hata hivyo umri wa kuishi Africa ni mfupi sana ,,,,. pole kama kiswahili changu ni kigumu
 
Heri ya mwaka wandugu.

Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.

Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.

Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).

Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.

Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.

Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.

Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.

Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.

So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.

Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)

Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.

Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"

Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.

Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.

Angaika pale akafanya yake, akaondoka.

Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.

Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"

Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.

Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.

Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu

Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.

Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.

Nimelia mpaka nahisi kuumwa.

Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.

I can feel your situation..Pole! Ushauri uliopewa wa kuzungumza na waliokuzidi ni bora zaidi. Pia jaribu kusoma vitabu/makala mbali mbali zihusuzo ndoa and psychology for your relief. Hata kama havitakupa majibu ya moja kwa moja lakini vitakusaidia usiathirike kutokana na changamoto unayoipitia. Zaidi ya yote usichoke kumwamini Mungu japo kuna wakati nguvu huwa zinakuishia. Ushinde ubaya kwa wema. All the best!
 
Mchukue Masai dada mkae mahali patulivu muongelee changamoto zenu kwa kina mnaweza kupata ufumbuzi.....ila inauma mnara unasoma 6G alafu simu inazingua kuwaka[emoji16][emoji16] pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wsnawake sio watu, hata huyo anelalamika hapa usikute jamaa lilimvumilia kwa mda mrefu sasa likachoka likaamua kumkazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema wanawake tunakera vipi mleta mada angesema wanaume wanakera?!

Sema mkeo anakera, usiunganishe wengine kwa madhaifu ya mkeo! Kila mtu ana mapungufu yake na tunatofautiana!
Wengi wao ni kero sana, ndoa nyingi kwa sasa zinawaka moto, unakuta wanaishi kwa heshima ya watoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao ni kero sana, ndoa nyingi kwa sasa zinawaka moto, unakuta wanaishi kwa heshima ya watoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upande wa pili wengi wao ni kama ulivyosema pia!
Heshima ya watoto huku mkionyesha tofauti kila leo, inawaharibu watoto kisaikolojia pia!

Tuombee ndoa zetu, na hili ni kwa pande zote mbili!
 
Unaumwa wewe
Afu pesa alizokopa wakajenga inakuwaje?.

kashasem kipato ni kidogo ana mkopo
Yani utoke kwako ukapange inahusuu
Eti badae utafte mtu malaika yupi kwa mfano na mtu mshazaa

solution ni kutafta side guy wakiwa humohumo ndani ya nyumba low profile tu wenge limuishe kwanza aache kujali viroja vyake
wewe una sifa zote za ....... ...... ......

(dont ever try quote my Comment again)

that red line means how serious i am,huwezi kutumia lugha za kistarabu ku reply ebu kaa kimya acha kabisa kimbele mbele cha kuwashwa na maandishi yangu.
 
Hahahah unaumwa wewe
Hizo rules zako katengeneze JF yako
Ila hii ya Max Melo utaulizwa tu for anything u ever post na ukijichanganya ban pia utapigwa
Vinginevyo baki kuwa ndugu msomaji😊
 
masai dada njoo usome ushauri huu
Cresida hakuna ndoa ya watuwatatu duniani wewe siku moja tenga andaa kikao chenu wawili fungua kikao kwa maombi baada ya hapo anza kumwambia namna ambavyo hupendi vurugu ambazo zinaendelea kwenye ndoa yenu elezea yote kuanzia huyo dada mtu,matukio hayo yote kwa ujumla wake baada ya hapo mwambie na yeye aeleze ni mambo Gani ambayo yamekwaza kiasi kwamba ndoa inakwenda mrama ,pia wakati mnaongea mpe nafasi ya kujimwaga sana hapa ninamaana kuwa hata kama atafikia hatua ya kutukana wewe mwachie nafasi usimkatishe hata kidogo kama tatizo linaendelea pelekeni kwa wazazi maana inawezekana wazazi wakatatua mkwamo wa ndoa yenu ikishindikana kabisa sisi wakristo tunaenda kwa padre kama tatizo bado basi mnatengana ,,,,,,,hata hivyo umri wa kuishi Africa ni mfupi sana ,,,,. pole kama kiswahili changu ni kigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah unaumwa wewe
Hizo rules zako katengeneze JF yako
Ila hii ya Max Melo utaulizwa tu for anything u ever post na ukijichanganya ban pia utapigwa
Vinginevyo baki kuwa ndugu msomaji😊
endelea kuchepuka ila mwenzako hana tabia kama yako na hatokaa awe nayo

ushazoea kuvuliwa chupi na kila mwanaume unafkiri hilo pepo utaweza mpa kila mwanamke

wanawake wengine wanajielewa,wanelewa maana ya MUME wewe kakakuona unaevuliwa chupi

na kila mwanaume unakuja mshauri mwenzako afanye ufuska wako umelogwa unatakiwa utolewe mapepo

mwanamke mzima unamshauri mwenzako eti "chepuka hata siku 1" shenzi type bogas la mwisho kabisa

yani umekaa kirax rax mpk kwenye ID fake asee we mgawa uchi,hii ni coment yangu ya mwisho kukujibu

ila kaa tambua mwenzako hana umalaya na hawezi msaliti mume wake,huo ushenzi fanya wewe usie elewa

maana ya Sehemu za siri,wanaume wote wanajua K yako shenzi mnuka K wewe ebu kwenda kule.
 
Daaaaahh umeongea kwa hisia Sana hadi nimeumia kwa kweli pole Sana Dada angu

Ninacho weza kukwambia ni kwamba huyo ni mmeo hivyo usifikilie kumsaliti ila fikilia kumuweka karbu Zaid na Zaid haijalishi itakugarimu kiasi gani kwauda wako na kwa hisia zako but hakikisha una fanikiwa katika hili

Unaweza kuomba nafasi ya kutoka out ukiwa wewe na yeye tu hapo nenda kamuoneshe jinsi gani una mpenda na hauko tayar kumpoteza mpe mapenzi kwa hisia za ndani Sana shoe him how worth he is then baada ya yote mwambie you need a peaceful life na yeye ndie mwenye peaceful life kwako hivyo asikuumize tena

Pia katika out yenu akiwa kwenye mudi nzuri ongea nae juu ya future yenu kuhusu mwanao na huyo na mwanae yule mwambie wote ni wake na wote wanajua yeye kama baba yao hakuna mwingine Zaid yake hivyo ni bora kujenga future sawa kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Hakika hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Fuata ushauri huu Masai dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kuchepuka ila mwenzako hana tabia kama yako na hatokaa awe nayo

ushazoea kuvuliwa chupi na kila mwanaume unafkiri hilo pepo utaweza mpa kila mwanamke

wanawake wengine wanajielewa,wanelewa maana ya MUME wewe kakakuona unaevuliwa chupi

na kila mwanaume unakuja mshauri mwenzako afanye ufuska wako umelogwa unatakiwa utolewe mapepo

mwanamke mzima unamshauri mwenzako eti "chepuka hata siku 1" shenzi type bogas la mwisho kabisa

yani umekaa kirax rax mpk kwenye ID fake asee we mgawa uchi,hii ni coment yangu ya mwisho kukujibu

ila kaa tambua mwenzako hana umalaya na hawezi msaliti mume wake,huo ushenzi fanya wewe usie elewa

maana ya Sehemu za siri,wanaume wote wanajua K yako shenzi mnuka K wewe ebu kwenda kule.
Povu la nini mkuu..
Au we ndo una q.um.a saivi nikushauri ufanyeje..?.
Haha eti maana ya mume..uyo mume anaelewa maana ya mke?..
 
Nimegundua wengi wamezoea kunyanyasa au kunyanyaswa kiasi kwamba kwao hiyo ni kawaida tu na inatakiwa iwe hivyo. Ndio maana watu wanakuja na kauli za "ndoa ngumu, vumilia tu"

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
kwangu binafsi nachoweza kukushauri dada yangu kwanza angalia furaha yako
kama kuwa nae na kuendelea kuteseka kwako ni bora kuliko kuachana nae basi endelea kuvumilia ila navyojua mwanaume habadilishwi anabadilika mwenyewe akijiskia

Kama ameonesha ishara hakuhitaji uwe mkewe huna haja ya kumlazimisha akupende au kukujali wewe jipende mwenyewe inatosha na jitengenezee furaha bila uwepo wake akiona humsumbui kumuuliza chochote akiwepo sawa asipo kuwepo sawa huku unajishughulisha mwenyewe kutimiza ndoto zako bila kujali uwepo wake atajua unachepuka na ataanza kukufuatilia yeye huku wewe upo na furaha saa 24

Na kuhusu kukupa unyumba assume huna mume kuwa bussy na kusaka hela uone kama hatateseka kukubembeleza .
 
Pole sna Dada, yan penye miti mingi hakuna wajenzi kwakwel, nataman sna ngepata shavu hili hpe unge enjoy. But n hv as long as ni mumeo wa ndoa fight kuachana nae then mgawane vitu nahis kila kitu kitakaa sawa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka wandugu.

Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.

Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.

Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).

Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.

Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.

Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.

Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.

Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.

So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.

Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)

Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.

Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"

Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.

Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.

Angaika pale akafanya yake, akaondoka.

Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.

Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"

Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.

Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.

Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu

Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.

Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.

Nimelia mpaka nahisi kuumwa.

Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.

Kwa namna nimekusoma unaonekana kichwa yako iko resi, una mawenge sana tuliza kichwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom