Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Mmmmmh mume wa ndoa, tena halali kabisaa, na nyumba hiyo wee nguvu yako imehusika, sasa inakuaje aseme nyumba ni ya mtoto wa nje? Duuuh hapana kwa kweli haiwezekani, ila polee sana mam Mungu atakuwa upande wako.
 
Shida ya kusikiliza upande mmoja
 
Nadhani Masai dada na wanawake wengine tafteni hichi kitabu msome, maana kinachokutesa nilitaka kumbadilisha mtu mzima badala ya kuishi maisha yako. We live once
 
Njoo Pm nikuelekeze vizuri jinsi ya kurudisha furaha iliyopetea.
 
Hua mnatuonea sana
 
Ndo maana kila siku mnaanbiwa acha kujenga na mwanaume. Usimsaidie mwanaume financially. Wanaume hawana shukrani kamwe
 
Pesa za mke ni za mke kutoa ni mapenzi yake ila za wanaume ni za family yote. Pole sana ukitaka kurudia jambo hilo tena kumbuka kuna kuachana pia
 
Ndo maana kila siku mnaanbiwa acha kujenga na mwanaume. Usimsaidie mwanaume financially. Wanaume hawana shukrani kamwe


Vipi na wale mademu wachumba wanaosomeshwa halafu hawana shukrani kwa wanaowasomesha?
 
Hee ngoja nianze kwa mamii90 ndo ntaelewa[emoji848]
 
Sorry to say so...huyo mwanaume hakupendi wala hajawahi kukupenda, furthermore inaonekana wewe ndo ulilazimisha hii ndoa[emoji848]

Ila pole kipenzi, usithubutu kumpenda mwanaume,hiyo sio kazi yako
 
Huyo mume wako ni kabila gani?

Maana wapare ndo wenye tabia hizi[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…