Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Mmmmmh mume wa ndoa, tena halali kabisaa, na nyumba hiyo wee nguvu yako imehusika, sasa inakuaje aseme nyumba ni ya mtoto wa nje? Duuuh hapana kwa kweli haiwezekani, ila polee sana mam Mungu atakuwa upande wako.
 
Nadhani Masai dada na wanawake wengine tafteni hichi kitabu msome, maana kinachokutesa nilitaka kumbadilisha mtu mzima badala ya kuishi maisha yako. We live once
Screenshot_20200625-092053_1593066138929.jpg
 
Heri ya mwaka wandugu.

Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.
Njoo Pm nikuelekeze vizuri jinsi ya kurudisha furaha iliyopetea.
 
Pole kwa hili kasheshe linalokukuta Mrembo.

Wanaume wengi ni wabinafsi sana na wengi ndo wanafanyaga mioyo ya wanawake kuwa migumu.Tulia uzuri unamjua mume wako ndoa ni kupambana usirudishe mpira kwa kipa, bado mapema mno!jifunze kumpuuza kipindi hichi fanya vile vitu unavyovipenda.

Kumbuka wewe ndo chanzo cha furaha yako.Kingine tafuta biashara au mradi wowote utakaokufanya uwe busy na uweze kutengeneza kipato chako.Mbona utatoboa kimya kimya pasipo kuwa na majibizano ndani.Mungu akusaidie kweli kweli maana si rahisi.Happy New year.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua mnatuonea sana
 
Ndo maana kila siku mnaanbiwa acha kujenga na mwanaume. Usimsaidie mwanaume financially. Wanaume hawana shukrani kamwe
 
Pesa za mke ni za mke kutoa ni mapenzi yake ila za wanaume ni za family yote. Pole sana ukitaka kurudia jambo hilo tena kumbuka kuna kuachana pia
 
Ndo maana kila siku mnaanbiwa acha kujenga na mwanaume. Usimsaidie mwanaume financially. Wanaume hawana shukrani kamwe


Vipi na wale mademu wachumba wanaosomeshwa halafu hawana shukrani kwa wanaowasomesha?
 
Hee ngoja nianze kwa mamii90 ndo ntaelewa[emoji848]
 
Sorry to say so...huyo mwanaume hakupendi wala hajawahi kukupenda, furthermore inaonekana wewe ndo ulilazimisha hii ndoa[emoji848]

Ila pole kipenzi, usithubutu kumpenda mwanaume,hiyo sio kazi yako
 
Unajua watu jf wanafikirigi watu wengine wanaletaga stor ila aisee kuna point mtu unafikia unahitaji msaada kabisaa
Yaani natamani ni attach sms moja hapa ila aia maana
Maana mimi nilimwambia sipendi haya maisha ya manyanyaso kwangu akasema
Haya maisha wewe ndo utakaeumia maana mimi siumiagi nadhani unajua hilo
Yaani nikajiuliza kuna mtu duniani asiemia kwa namna yoyote?
Huyo mume wako ni kabila gani?

Maana wapare ndo wenye tabia hizi[emoji848]
 
Back
Top Bottom