Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Aliwekewa madawa usiku yule mtoto akamcall mtaalamu wakamfanyia yao jamaa anaamka asubuhi anajikuta na mshono
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo manzi ni rais wa wahuni.....alifungua gari na kutoa engine
 
iko vizuri kwa nyie mpo na wababe wakali mnaibiana hadi inaleta uromantic flani.....
 
Niliibiwa mashuka baada ya kumuacha gheto nikaenda job asubuhi Jioni kurudi nikakuta Shuka niliyoyandika tu! Nilipiga chini mzigo siku ileile bila ya yeye kugundua,hadi Leo akiniona ananionea aibu.miaka 6 ishapita nabakigi nacheka tu.
 
Nsaidie namba zake ... Mi jtaweka buku mbili
 

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…