Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.

Haya tukalala kesho asubuhi nikajiandaa nisepe chuo akanipa elf 50 ile nafika hostel nicheki nikakuta kwenye zile hela nilizoiba imebaki elf 80.

Kumbe na yeye aliiba kwangu akanipa ngoma ikawa imeisha mshindi mimi.

Kilichofuata hapo tukawa max.

Ila vitu kama CD,Flash na pombe za kwenye fridge huwa nachukua au ndo kuiba hukoo.
Ahahaa
 
Sijawahi kuibiwa maana sijawahi kuwa na bwana kibaka wala sijawahi kuiba. Naogopa na naona wizi ni Kama tendo Fulani LA kishujaa kufanywa na mwanamke.
Ila ex wangu mmoja alishawahi kuhisi nimemuibia bwana.
Ilikua hivi: Anapenda kutembea na hela nyingi kwa ajili ya kulipa bill. Sasa siku hiyo tushamaliza starehe akawa amebakiwa na 1M ameweka kwenye bahasha. Hapo wote tushalewa tunarudi hotelini. Asubuhi akaniamsha haoni hela zake alikua anataka kulipa aloleta breakfast. Sasa na yeye akajua mimi ndo nimemuibia. Tukatafuta room sitting room kote holaa. Nikamwambia embu muulize driver wako maana sikukuona ukishuka na hiyo bahasha. Mpigie simu mwambie akuletee bahasha Kama Hana atakwambia. Akapiga bwana kumbe aliisahau kwenye seat yake. Akasema eti alijua Mimi nimechukua hela nimechukua Mchango wangu wa mahari...

Wifi uache kuchomoa hela sio vyedi
 
Umeolewa [emoji848][emoji848]
[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Bado nimelala [emoji41]
FB_IMG_1537522978787.jpg
 
Back
Top Bottom