Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Nimeenda kwake, kanitumia afu kasema hana pesa atanitumia baadae kwenye simu.
Kaenda kuoga nikasepa na flat screen yake pamoja na dekoda ya Azam.
Namba yangu ya simu hana....atanipataje.
Mpaka leo ninavyo
Ulivibebaje? [emoji23][emoji23]
 
Kuna demu nilikua naishinae nikawa naweka ela kwenye kibubu na saa ingine nampa yeye anaweka, siku narudi ucku nikakuta wamevunja mlango mchana (na yeye yupo ila akasema alienda kwa mama yangu) wamevunjia kile kibubu palepale ndani na kutoa ela zote (kwa makadirio ilkua ishazidi milioni 1) na kulikua na nyingine sehemu km 2 hivi ila hazikuchukuliwa ila yeye hakua anajua naweka hela hizo sehemu na pia hawakuchukua kitu kingingine chochote,
Baada ya kuachananae wambea wakaja kumwambia mke wangu kuna mwanamke alikua akiishi na mm kabla sijamuoa aliniibia kwa kushirikiana na rafiki yake pale jirani na bwana huyo rafiki yake.
 
Mkono wangu mwenyewe ndio Mpenzi,sina stress yakuibiwa wala kuvunjwa moyo.
 
Mimi nilinyolewa mavuzi ambayo nahisi yalipelekwa kwa mganga ili nimuache mke wangu nioe mchepuko. Ilikuwa hivi, mchepuko kila mara baada ya kunizoea alikuwa ana katabia cha kunililia niende hotelini kulala naye usiku mzima na nikawa nakataa kwa sababu nilikuwa (na bado nina) mke na watoto), nikimkatalia analia kama kafiwa na wazazi wake. Nikaingiwa na huruma, kwa hiyo siku nyingine aliponiomba kulala naye hotelini sikusita nikamkubalia. Tukawa tumeenda kulala hoteli moja hivi kule Kigamboni. Tulifanya yetu kisha tukalala, nashangaa nahamka usiku nakwenda kujisaidia haja ndogo nakuta sina vuzi hata moja yaani kipara tupu kama tako la mtoto mchanga. Nikarudi kumuhamsha mwenzangu kwanini sina mavuzi, akaniambia aliyanyoa kunisaidia kuondoa uchafu. Nikashikwa na wasiwasi huku nikijiuliza siku zote hajawahi niambia mavuzi yangu ni uchafu na si mavuzi ya kutisha kama msitu maana niliyanyoa kimtindo iweje leo hii? Kumuuliza kayaweka wapi akanijibu kwa hasira kuwa nayatakia nini kitu kichafu kisochofaa? Kwa kweli sikulala vizuri ile siku, kufika asubuhi ikabidi nikatishe our outing. Kurudi nyumbani nikamuaga nakwenda kuangalia familia na sikumtafuta tena kama siku tatu hivi kwa sababu nilihisi alikuwa kanichezea rafu, hivyo nikawa najitazamia kwanza. Baada ya siku 4 kupita akanitumia ujumbe kuwa anakwenda kwao kijijini, Tanga, atarudi baada ya wiki na nisimtafute. Ile wiki ikawa mwezi hajarudi, nikimpigia simu hapokei nikaacha kwani bado nilikuwa na hasira naye. Siku ya siku nikakutana na shoga yake pale stesheni, nashangaa anakuja huku ananikumbatia na kulia akinipa pole kufiwa na mpenzi wangu. Kumuuliza kulikoni, akaniambia si mpenzi wangu alifia kwa mganga alipoenda kwao kijijini. Yaani niliishiwa nguvu na kuyakumbuka mavuzi yangu huenda ndiyo yalikuwa chanzo maana sie wengine tumekingwa toka utotoni.
 
demiss nili amua niku achie tu ile ela... shimo lilikua limetema siku ile
 
Back
Top Bottom