Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hio ipooNakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.
Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela, simjali lakini pia kuna hela ya mtaji niimpromisi nitampa ila sikumpa basi aliamua kuniacha kisa mimi mbahili.
ukitaka kujua kama hilo lipo, we anzisha mahusiano na mwanamke kuanzia miaka 30 ndio utajua
Hata huyu tumwombeeeπππ,
Kaka madenge huyu akaimu nafasi ya Uenezi wa chama cha UWABATANakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.
Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela, simjali lakini pia kuna hela ya mtaji niimpromisi nitampa ila sikumpa basi aliamua kuniacha kisa mimi mbahili.
wanakaba hao imeshakuwa jioni sasa afanyeje halafu ni wazoefu wa mishedede!!Wana nini hawa wa 30
Hii ilimtokea kaka yangu wa tumbo moja atoke yeye ntoke mimi, mtaa wa pili kulikuwa na demu mmoja mfupi,mweusi tii ana macho makubwa yamemjaa usoni, mekundu utafikiri ana red eyes hadi bi mkubwa akawa anamwogopa akawa anasema anavuta bange, kumbe bro alikuwa anapiga bwana, washkaji zake wakamwotea siku moja walishangaaje ukichukulia na mapigo ya yule dem, baada ya kumbana bro akasema anapiga mara moja anasepa.Ule mwaka haujaisha jioni moja tunapokea wageni,wazazi wa yule binti wamekuja kushtaki bro kashamtia mimba, kuitwa jamaa kuthibitisha akakiri ni kweli ye ni mhusika istoshe hadi kadi ya klinic ina jina lake kama baba, daah!! bi mkubwa alichokaje, ikawa haina jinsi, mshua akajitoa kwa maneno mengi makali, ikabidi mzigo tuubebe sisi na bi mkubwa ukichukuli bro hakuwaga na hela kabisa,daah hapo katikati mpaka binti anajifungua yalitokea mambo mengi ya kustaajabisha sometimes hadi nalia nikiyakumbuka..wee acha tuNakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.
Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela, simjali lakini pia kuna hela ya mtaji niimpromisi nitampa ila sikumpa basi aliamua kuniacha kisa mimi mbahili.
Eeeeeheee ikawaje alafu,malizia story[emoji44][emoji44][emoji44]Hii ilimtokea kaka yangu wa tumbo moja atoke yeye ntoke mimi, mtaa wa pili kulikuwa na demu mmoja mfupi,mweusi tii ana macho makubwa yamemjaa usoni, mekundu utafikiri ana red eyes hadi bi mkubwa akawa anamwogopa akawa anasema anavuta bange, kumbe bro alikuwa anapiga bwana, washkaji zake wakamwotea siku moja walishangaaje ukichukulia na mapigo ya yule dem, baada ya kumbana bro akasema anapiga mara moja anasepa.Ule mwaka haujaisha jioni moja tunapokea wageni,wazazi wa yule binti wamekuja kushtaki bro kashamtia mimba, kuitwa jamaa kuthibitisha akakiri ni kweli ye ni mhusika istoshe hadi kadi ya klinic ina jina lake kama baba, daah!! bi mkubwa alichokaje, ikawa haina jinsi, mshua akajitoa kwa maneno mengi makali, ikabidi mzigo tuubebe sisi na bi mkubwa ukichukuli bro hakuwaga na hela kabisa,daah hapo katikati mpaka binti anajifungua yalitokea mambo mengi ya kustaajabisha sometimes hadi nalia nikiyakumbuka..wee acha tu
Ukiwaambia ukweli hautimizi malengo yako. πMuwe mnawataarifu mapema kwamba we unahitaji kuchangamshana tu aamue kuchangamshwa.
Sio kila mtu anataka serios relation wengine hu-hitaji machangamsho tuUkiwaambia ukweli hautimizi malengo yako. π
Picha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,Eeeeeheee ikawaje alafu,malizia story[emoji44][emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Poleni sana mkuu...ππ½ππ½Picha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,
Ngoma ikaamia kwa bro, kuna usiku wa manane tunagongewa jamaa kakutwa analia chumbani kwake tumbo zimekaza hata kuinuka anashindwa, alfajiri tukamwahisha hospitali kesho alfajiri zinakuja taarifa broo amefariki. Daaaah!!